Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

Status
Not open for further replies.
sasa mimi utaniweka kundi gani sijasoma sana, sasa ninatafuta degree yangu ya pili na nina fanya kazi nzuri biashara kwa kifupi hela ninayo siyo ya mawazo hata kidogo na sina jeuri wala sijidai, utaniweka kundi gani? sijafikisha miaka 30 nina mume na watoto

jeuri inakuja utakapo olewa. mme akinunua kiwanja na wewe unataka kununua kiwanja. ukiulizwa si ela yangu.

wewe unampasiaga na kumfulia mme wako. oooh situna fanya kazi wote wote tumechoka.

miaka inayo kuja ata kuliwa mtasema mmechoka mgegede housegal
 
Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.

Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke msomi au mwenye hela kukuzidi. Yani huwa ni kero kubwa mno.

Si uoe tu hasie na elim na hasie na pesa ili hisiwe kero kwako.
Inaonesha wewe mwenyewe ndio tatizo, ukiona halie kuzidi hakufai basi tafuta utakae mzidi.

Hacha kulalamika kama mwanamke mjamzito.
 
jeuri inakuja utakapo olewa. mme akinunua kiwanja na wewe unataka kununua kiwanja. ukiulizwa si ela yangu.

wewe unampasiaga na kumfulia mme wako. oooh situna fanya kazi wote wote tumechoka.

miaka inayo kuja ata kuliwa mtasema mmechoka mgegede housegal

mwezi wa nane mwaka huu Mungu akijalia nitatimiza miaka minne kwenye ndoa yangu, na bado sijaona tofauti ya kipindi cha nyuma na sasa, ni ulimbukeni tuu wa mtu kuwa hivyo
 
Basi wanaume someni zaidi ili mtupiku,na mkiapproach basi muwe mnazingatia hilo
 
Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.

Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke msomi au mwenye hela kukuzidi. Yani huwa ni kero kubwa mno.

Hata kama kakuzidi au mpo sawa kielemu na kipato. Jiamini. Be yourself. Mtakwenda na atakuheshimu tu. Usipojiamini tu, imekula kwako na tatizo ni la kwako!
 
Mbona naona kama hivi karibuni kumezuka mtindo wa kuanzisha mada za kuwa-bash sana wanawake?

They can't (all) be that bad now, can they?

Ukiona mtu anaikosoa kosoa jinsia ambayo si yake jue yeye mwenyewe ndio tatizo.
 
Hili si kweli labda useme baadhi yao, mimi nawafahamu wasomi tena wa hali ya juu lakini ni watu poa sana. Hawana majivuno wala maringo, ila wnazijua haki zao na hawakubali upumbavupumbavu wa aina yoyote ile.

Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.

Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke msomi au mwenye hela kukuzidi. Yani huwa ni kero kubwa mno.
 
Hili si kweli labda useme baadhi yao, mimi nawafahamu wasomi tena wa hali ya juu lakini ni watu poa sana. Hawana majivuno wala maringo, ila wnazijua haki zao na hawakubali upumbavupumbavu wa aina yoyote ile.

Wawache wabaki kujazana ujinga!
 
Mi embu ngoja niseme kitu kimoja. Kuna mwanaume hana kweli na hajasoma kama wewe lakinI mnaendesha maisha vizuri tu unamheshimu nae anakuheshimu. Sasa kuna yale magumegume utakuta yeye hela anazo ila tatizo anajua na wewe hela unayo basi kila jukumu la nyumbani anataka akuachie wewe. Ulipe rent wewe, ununue vyakula, ulipe ada za watoto, ununue luku, maji ulipe kila kitu yeye aje jioni aweke p.mbu zake kwenye kochi awashe tv ale alale. Sasa ukifanyiwa jeuri unalalamika, unalalamika nini na wanaume mpo wawili ndani ya nyumba? Tena mwanaume hela si zake anataka ampangie mwanamke jinsi ya kutumia, akisema anamsaidia mamake taabu. Inahusu nini na hela zake? Kama vipi mwanaume komaa tafuta zako! Mwanaume akiwezeshwa anaweza...!
 
Wanataka a confident and reliable man,kama mtu ni magumashi hii type itakupasua kichwa tu!!!!!

Yawezekana wapo mapepe na hao kama wasingengesoma na wako apeche alolo ndio ingekuwa balaa kabisa!!!
 
Wanataka a confident and reliable man,kama mtu ni magumashi hii type itakupasua kichwa tu!!!!!

Yawezekana wapo mapepe na hao kama wasingengesoma na wako apeche alolo ndio ingekuwa balaa kabisa!!!

hehhe apeche alolo ndo nini hyo
 
Umethibitisha au unasikiasikia tu kwa sababu ya woga?..............Wenzako wanafurahia hizo hela na malavidavi. We unadhani wanatafuta hela za nn sasa. Kitu kizuri ni kuwa hawataki kuwa tegemezi
 
Hakuna kero kuoa mwanamke msomi au mwenye kipato kukuzidi mwanaume.
Huo ni udhaifu (infiriority complex) unahisi ni jeuri au anakudharau.
Mwanaume ni kichwa cha mwanamke, na mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume.
Mwanaume laZima usimame imara katka familia yako.
Tumeambiwa tuishi nao kwa akili, umeshindwa unalalama nini? Soma mithal 31- 10-31.
Mwanamke lazima ajishugulishe.
 
Kusoma na tabia ya mtu ni vitu tofauti. Kuna watu hawajasoma na waliosoma wana tabia ulizotaja.
Sema elimu inamsaidia mtu kujitambua, ndio hapo mtu atakuona unaringa, na hayo mengine.
Wengine mnapenda wanawake wa kuwapiga mizinga muwanyanyase, ukiona mwanamke anajimudu ukileta ujinga anakutupa kule unahisi anaringa na ujeuri, ni kujitambua tu.
 
Mwanaume alietimia kiumbe kinachoitwa MWANAMKE si tatizo kwake..ila kama wewe mwanaume ni NUSU na ROBO hata kama mkeo ulimpata akiwa housegirl atakuendesha tu."TATIZO SIO TATIZO UNLESS MPOKEAJI AWE TATIZO"-Daby Mouser
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom