Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

Status
Not open for further replies.
Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.

Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke msomi au mwenye hela kukuzidi. Yani huwa ni kero kubwa mno.

Mafanikio yoyoye kwa -------- huambatana na ulevi wa mafanikio na kiburi kwa mtu --------, haijalishi jinsia yake kama ni ya kiume au ya kike. Tatizo ni kuwa wanaume tumezoea tu kuwa wababe kwa kuwa tulitangulia kufanikiwa na tuna maguvu.
 
kuna mama mmoja anaitwa prof Njabiri wau dsm alisema babu yenu nilimfukuza kwa sababu alikataa masharti ya kibeijing
 
Dah yan humu duniani kila kitu tabu!mwanamke akiwa msomi tatizo,akiwa na pesa ishu nyengine na akiwa hana chochote hasara,ts hard to be human
 
mwezi wa nane mwaka huu Mungu akijalia nitatimiza miaka minne kwenye ndoa yangu, na bado sijaona tofauti ya kipindi cha nyuma na sasa, ni ulimbukeni tuu wa mtu kuwa hivyo

tofauti huioni wewe anaiona mme wako. anakuvumilia tu.
 
Halafu wanapenda kuchepuka hao..Ofisini lunch time wanachepuka balaa na walio wengi watoto wao siyo wa watoto siyo wa mume wake ila wanazaa na michepuko hao...Wanaolewa kuosha tu mkosi lakini moyoni wanayakwao..
 
Mwanamke ni kuku kwa mwanaume na haupaswi kumwokopa kwa elim yake au visenti vyake, mbona tunashinda tunawagegeda tena kwa ofa maalum na degree zao? Na hawaruki
 
Mwanamke ni kuku kwa mwanaume na haupaswi kumwokopa kwa elim yake au visenti vyake, mbona tunashinda tunawagegeda tena kwa ofa maalum na degree zao? Na hawaruki

We nae hujielewi....na ninyi ni nani? Ng'ombe?
 
Tukisoma tabu
Tusiposoma tabu
Tukiwa na hela napo tabu
Tusipokuwa nazo ndo kabisa tunaambiwa tunajiuza.
Lipi jema kwenu?
Na bado mpaka kieleweke, shule tunapiga na hela tunazisaka vile vile
 
sasa mimi utaniweka kundi gani sijasoma sana, sasa ninatafuta degree yangu ya pili na nina fanya kazi nzuri biashara kwa kifupi hela ninayo siyo ya mawazo hata kidogo na sina jeuri wala sijidai, utaniweka kundi gani? sijafikisha miaka 30 nina mume na watoto

Hongera sana kama upo hivyo ila kiukweli wanawake wengi wasomi na wenye hela zaidi ya wame zao huwa wana kiburi na anaweza hata kumuaibisha mumewe anytime n anywhere...
 
Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.

Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke msomi au mwenye hela kukuzidi. Yani huwa ni kero kubwa mno.

Ukweli mtupu..Nina vivid example ya hii kitu. 100% Proved..

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom