Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,329
Usipanic mkuu taratibu..ni mitazamo ya kijamii tu ilivyo
Aseee mie?bize kabisa napanic na story za kijiwe?
u can't be serious....
Usipanic mkuu taratibu..ni mitazamo ya kijamii tu ilivyo
Imekula kwake....Kuna msemo usemao, samaki moja akiooza............
Kama imemtokea basi anaamini kuwa wote wako hivyo.
There is a thin line katika mtazamo wa huyo mwanaume kwa kuwa baadhi ya wanaume wasiosoma na mkwanja wenyewe wana inferiority complex, na wenyewe hawana confidence ya kum handle huyo mwanamke! As a result anakimbilia kuona mwanamke arrogant! Akishauriwa kidogo utakuta anaanza au kwa kuwa hela unatoa wewe.... enheee ndio hela natoa mie, unataka nikupe hela nisikuulize ukahongee mpaka mke mwenzangu ili uone sikunyanyasi...? Mfyuuuu!Mademu wengi hamjui kutofautisha arrogance na confidence ndo maana watu wanaona sio..mwanaume anataka mwanamke mwenye confidence sio mwanamke arrogance..wengi mnakuwa arrogance
Wengine wanataka hata hela ya kuhonga mke mwenzio umpe bila kuuliza anaipeleka wapi. Wanaume wengine hawajakaa vizuri. Mi napenda sana mwanamke anayejitambua na kutimiza wajibu wake kama mke ndani ya nyumba, hiyo ni pamoja na kufanya control ya mapato na matumizi ya familia
Uspanic mkuu..mada kama hizi za kuwachokoza watu wengine ndo wanaconclude hapa hapa wewe piga hoja tu..wakati mwingine mtu anageneralize lakini wewe unapiga hoja tu