Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

Tabia za wanawake wasomi na wenye hela

Status
Not open for further replies.
Huwa ni wabishi sana kukubali tabia zao za kiburi na jeuri lakini huo ndio ukweli na mtaona tu reaction zao kwenye hii mada.

Kweli kweli kama unataka kujuwa ndo ni chungu basi wewe oa mwanamke msomi au mwenye hela kukuzidi. Yani huwa ni kero kubwa mno.

Karibu sana mkuu. Mia
 
Inferiority complex ni tatizo sana kwa wanaume wenye elimu ndogo pole....
mwanaume unatakiwa kujiamini!!!

Mimi ninadhani huyu Jamaa hamjamuelewa; amezungumzia kiburi na si Vinginevyo;

Hebu fikiria una mke alafu siku moja anakuambia " kuanzia wiki hii sitapika chakula kwa mda wa mwezi mzima kwani niko busy, nitapika weekend tu."

Ukilalamika tutasema hiyo ni inferiority complex Evelyn salt?

Na je ni haki mke kumwambia mum ewe kuwa hatapika chakula kwa mda wa miezi 2.

Nadhani wenye experience na hivi vitu wazungumze.
 
Eeeh umezunguza jambo la msingi sana ndugu yangu wana quantifaya nyingi oooh bby mala dear mala honey ka mala let's do it tomor yan codemixing hizo utakufa omba papuchi sasa eeeeeheeeh ndo dear nimechoka na kaz.dawa ya mwanamke mwanamke mwezake.kibur its a broad term na yote yamo@eve
 
Sasa hapa si ndo unapigia mstari kabisa alichosema mtoa mada..?

What do u mean by the term Bullshit? Kwani ukijibu kwa hoja kuna tatizo gani? Acheni kupuuzia mada zingine na kuwa na dharau...baadhi yenu hapahapa mna tabia hizo eventhough your educated,
 
Mimi ninadhani huyu Jamaa hamjamuelewa; amezungumzia kiburi na si Vinginevyo;

Hebu fikiria una mke alafu siku moja anakuambia " kuanzia wiki hii sitapika chakula kwa mda wa mwezi mzima kwani niko busy, nitapika weekend tu."

Ukilalamika tutasema hiyo ni inferiority complex Evelyn salt?

Na je ni haki mke kumwambia mum ewe kuwa hatapika chakula kwa mda wa miezi 2.

Nadhani wenye experience na hivi vitu wazungumze.

Hakuna wanawake ambao hawajakanyaga skuli na wanaviburi?
aseee nimesoma wacha nijisifu, ila siwezi kumfanyia kiburi mwanaume wangu
na wala siwezi kumwambia apike, labda kwa mapenzi yake ajisikie kanisaidia.
 
kuwa mwanamme.sasa.hivi si lelemama, nguvu za kiuchumi sio manual tena, ni akili zaidi.

Na tukubali, mwenye nguvu kiuchumi ndio anakuwa na mamlaka ya mwisho.

Hapo hapo awe kasoma, maana yake ana uwezo wa kuchambua mambo kivyake bila kushikiwa rimoti.

Kwa hali hii wanamme wakaze buti,vinginevyo ni dipresjeno tu.

ila hata hao wanawake hawana raha, jamii inawahukumu sana hata kabla ya kukosea.

Mkuu mambo vipi? na wewe unataka dharau? hahahaaaaaa.....!!. mia
 
Kwanza kuolewa kwenyewe mbona kama hawataki nyie mnawalazimisha wa nini?

Amkeni nyie wanaume tafuta mke aliye size yako utakayemmudu kwa kila idara na si kuwapenda waliosoma na viela vyao mkidhani ndo sahihi wa kuolewa,ntashangaa eti muwasubiri wao wakiri mnachowatuhumu ..dhubutu!

Kwa mwanamke akiweza hata kumaliza form4 anafaha sana kuolewa,madigrii ni mzigo kwenye ndoa ya heshima na amani ..utalia sana.
 
kuna mama mmoja alisoma zamani, kamaliza six kapelekwa USA, karudi na digrii yake, miaka ya 70.

akawa analalamikia stigma iloyokuwepo miaka hiyo kwa akina dada wasomi na kazi kubwa. Sikuwaga namwelewa, kila nikipna sred hizi namkumbuka. Kipesa na taaluma yake yuko vizuri, ila bado anaona jamii ilpmzunguka haikuwa fair kwake.
 
Hakuna wanawake ambao hawajakanyaga skuli na wanaviburi?
aseee nimesoma wacha nijisifu, ila siwezi kumfanyia kiburi mwanaume wangu
na wala siwezi kumwambia apike, labda kwa mapenzi yake ajisikie kanisaidia.

Basi wenzio wapo wenye tabia hizo; speaking from experience.
 
Mimi ninadhani huyu Jamaa hamjamuelewa; amezungumzia kiburi na si Vinginevyo;

Hebu fikiria una mke alafu siku moja anakuambia " kuanzia wiki hii sitapika chakula kwa mda wa mwezi mzima kwani niko busy, nitapika weekend tu."

Ukilalamika tutasema hiyo ni inferiority complex Evelyn salt?

Na je ni haki mke kumwambia mum ewe kuwa hatapika chakula kwa mda wa miezi 2.

Nadhani wenye experience na hivi vitu wazungumze.

Kuwa baba na kichwa cha familia jua responsibilities zako as a man of the house hutasikia mke akuambie yuko busy shida ni pale unapotaka mke akutunze wewe na watoto hapo ndio utaona jeuri ya mke na hii si kwa msomi hata kwa asiye soma ukimwachia majukumu yako dharau zitakuwepo. Nimeona wanawake wasiosoma na wenye viburi na waliosoma hawana viburi usigeneralize
 
Mwanamke ukimchapa vzuri atakuheshimu hâta kama ana hela

Na ukiona unafikiria kuchapa mwanamke ujue huna akili bali una nguvu na Tz hatujatwaa kombe la ndondi siku nyingi kama uko na nguvu za ziada kapigane upate kombe na pesa. Mwanamke anahitaji mwanaume mwenye akili na busara sana nguvu tuwaachie wanyama wasio jitambue
 
bibi.com umri umekutupa masikni KUCHAPWA na kuchapwa kuna tofauti sana!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom