1. ROMBO
a. Wachapa kazi - bulldozer
b. Wana upendo
c. Wabunifu sana kimaendeleo
d. Wana heshimu ndoa
e. Ulevi - hadi gongo na konyagi
f. Ushamba
g. Hawajui kupika
h. Wizi - Mnaposikia wachaga ni wezi basi mjue Mrombo ndie MASTERMIND. Hivyo ukioa Mrombo ujue hela kupotea ndani ni kawaida tu
I. Majungu
2. MARANGU
a. Wanapenda elimu sana
b. Ni wastaarabu sana
c. Wanapenda usafi
d. Wana upendo
e. Wanajali sana ndoa
f. Kujisikia
g. Wabaguzi -hawapendi kuchangamana na jamii zingine za kichaga hata wanapokuwa nje ya Kilimanjaro.
h. Kusengenya ndugu wa mume
3. MACHAME
a. Usafi
b. Elimu
c. Utawala katika famili
d. Jasiri
e. Ubepari - akishakuwa na uhakika kuwa anaweza kusimama peke yake na maisha yakaenda basi yupo radhi amuondoe mume wake ili abaki na watoto wake.
f. Ukatili - hawana huruma .
4. KIBOSHO
a. Hawatabiriki
5. SIHA + WAMERU
a. Baadhi ya tabia za kimachame
b. Wanapenda sherehe kama wazaramo. Yupo radhi asafiri kutoka Moshi hadi Mwanza kwenye Kipaimara cha mtoto wa binamu. Anaacha hata mgonjwa ndani ili afike harusini.
c. Kiburi
d. Ujuaji
e. Ubinafsi
f. Ushirikina
g. Uchonganishi.
h. Visirani. - ni vigumu sana ndoa zao kuwa za amani . Msiha na Mmeru muda wote vichwa vya moto sana na hawana unyenyekevu , hata wakosee vipi wao ni sawa tu na hawajali na hawana neno samahani
6. WAPARE
a. Upole - wataratibu sana
b. Wanapenda elimu
c. Usafi.
d. Malezi mazuri kwa watoto- maadili
e. Haiba ya kike- wanawake wa kipare wana haiba ya asili ya mwanamke hata anapoongea inaonyesha kweli aliyeongea ni mwanamke . Pia wana aibu ambayo pia ni sifa ya Kike.
f. Romantic- ndilo kabila pekee Kilimanjaro linalojuwa kumshawishi mwanaume kuvutika kimapenzi
g. Ubahili
h. Uchoyo
i. Ulalamishi.- ukioa mpare jiandae kupokea malalamiko kila siku