Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,303
Hahahaaa
Umejuaje mkuu,na wengi wao wanakuwa ni madalali.
Umejuaje mkuu,na wengi wao wanakuwa ni madalali.
Wewe upo kundi gani kati ya uliyoyatajaUpo kundi hilo nini joanah
MKUU NITAKE RADHI AISEEE INAMAANA NAIBIWA NYUMBANI??.Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi
Sio kweli kabsaInasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao,
1.Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui kubembeleza hata kdogo
3.Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.
4. Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli
5. Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6.Wasichana wenye NGOZI NYEUSI wanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7.Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe wengi wao huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kuliko wanaume weusi.
Kwa uzoefu wako wa maumbo mbalimbali waiyonayo dada zetu au wapenzi wetu zinalingana au kutofautiana na hizi..?

Wanajua kupenda sana hawa warembo wafupiIla kusema ukwel videm vifupi ni vinapenda .. yan wanajua kupenda asikuambie mtu ... nilishakua navyo hata nikikosea husamehe ili mradi tuu msiachane ishu ni pindi utakapotaka muachane utakoma
Utakua ww ni moja wao ndio maana unasema hiviKwa mtazamo wangu
2&3 sio kweli
HapanaUna kithembe bibie?!
Yani bora namba 2 kidooogo inaelekeaUpo kundi hilo nini joanah
Hapana sio MimiKwann au ndio ww
Asantee sana mkuushkamoo joanah kumbe ushawahi kukumbwa na hili balaa www.jamiiforums.com/threads/nashindwa-nifanyaje-bado-nampenda-sana.1097038/
Kwangu mie siko hivyoNo.3 kwa wenye dimpos anaweza kuwa sahihi kidogo.
Sio mmoja wao ndio maana nimepingaUtakua ww ni moja wao ndio maana unasema hivi

Hio no.3 kwenye ibara ya kutokuwa mwaminifu Kwa mpnz wako, napata ukakasi kidogo.hahahahah umejuaje we mtabiri sana ukiunganisha na 2 & 6 za soul provider inakamilisha haswa
Ndio hivyo kutokana na research yake hahahaha shem pressure itakuuwa ukifwata mada za hapaMKUU NITAKE RADHI AISEEE INAMAANA NAIBIWA NYUMBANI??
Mkuu umewaza nini?Mtoa mada utakua ni mView attachment 464993 mojawao
Ukakasi unatoka wapi tena ukikubaliana na utafiti ndio hivyo tenaHio no.3 kwenye ibara ya kutokuwa mwaminifu Kwa mpnz wako, napata ukakasi kidogo.
Itabidi niamini ninachokijua, I hope so.Ukakasi unatoka wapi tena ukikubaliana na utafiti ndio hivyo tena
Hahahaha kweli mkuu amini unachokijua na kuona pia tafiti nyingine ni kupitia watu aliokuwa nao halafu anaifanya kama woteItabidi niamini ninachokijua, I hope so.