Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

Ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu kuchagua waishi vipi.

Na wewe una maisha yako, chagua uishi vipi.

Mwanamme anayejielewa anatafuta mwanamke anayempenda kuwa naye.

Mwanamme anayekuwa na muda wa kuwafuatilia wanawake asiowapenda huyo ana matatizo.

Hususan sadism na misogyny.

Wengine wana hasira za kukataliwa wanawasema vibaya wanawake kwa kuwakataa kwa style ya "sizitaki mbichi hizi".
 
Maskini jeuri wanajifanya hawana njaa Kuna mmoja alikua akija gheto anakuta Dona tembele na Kibua anavunga kula anagusa gusa alivyo nizoea alikua anakandamiza nguna si kitoto, mpaka akinikumbuka unaskia nimemisi dona tembele. Dawa Yao usiende na pigo zake baki kwenye reli akichoka atajipunguza mwenyewe.
 
πŸ˜‚Sema aise huwa nasema wanawake wa a kishua kila mazingira wapo vizuri no matter ni wapi utawakuta wengi wapo vizuri wengi wao hawana maringo.
 
Mkuu mtoa mada amtusanua wanaume ili tuishi na hawa majambazi apa mjini.
Au na wewe mtoa mada anakuaribia soko??.
 
Mkuu mtoa mada amtusanua wanaume ili tuishi na hawa majambazi apa mjini.
Au na wewe mtoa mada anakuaribia soko??.
Mwanamme anajua kushika hamsini zake.

Mwanamme yuko busy na mwanamke wake mpaka hao majambazi hawaoni.

Mnafeli wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…