Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Tabia za mwanaume akiwa na pesa

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,378
Nawasalimu all MMU

Leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela

1) Yeye sio mkosaji: Hapa nazungumzia kupatikana na hatia. Yaani kama kakukosea lazima atengeneze maelezo mengi mpaka akuset ujione wewe ndie uliyekosea kumbe ni yeye.

2) Hajui kuomba/kutamka SAMAHANI: Hapa hata kama kakukosea kamwe samahani hajaumbiwa kinywani mwake.

3) Hujikweza: Hapa utakuta kila mwenzie au jirani yake akifanya jambo zuri utasikia yeye anaona kama hamna kitu.

4) Ujuaji: Hapa atataka kuonesha umwamba wa kila kitu kwamba anakijua. Mfano unakuta ye ni daktari basi akifika kwa mjenzi atampelekesha kiudaktari na wakati professional ya udaktari haiingiliani na ujenzi.

5) Kiburi: Hapa huwa hasikilizi ushauri haambiwi haambiliki anaweza akanya mlangoni kwako ukimuuliza utasikia inagharimu kiasi gani kwani? Badala hata atoe excuse.

6) Sifa: Hapa akitoa hela ndani atatangaza ukoo mzima hadi wale marafiki wa utotoni wajue au akisikia michango utaona atatoa kiwango kikubwa tofauti nakilichopangwa ili aonekane zimo.

7) Wanamsahau Allah /Mungu: Hapa ibada kwao ni mwiko siku ya Ijumaa ni siku ya kununulia bia wanaita weekend mood. Wale wa Jumapili utasikia ndio nafua.

8)----------
9)--------
10------

Nawakaribisha mmalizie sifa za wanaume baadhi wakipata hela za ghafla..
 
Yani hapo mwanaume akiwa na hela???? kumbe hutujui wanaume wewe unatuskia tu au unasimuliwa........

Afu namba saba ni uwongo kabisaaaa.......
 
Mwanaume mwenye pesa wako soo humble , most romantic one na msikivu inabidi mdada awe matured vizur (kujielewa etc) ndo atampa kila kitu......
Mkuu bado hujakutana na wenye HELA hao unaowazunguzia ni wale waliobahatikia kuokota vijisent wanakuwaga tabu tupu katika jamiii ....
 
nawasalimuuuuu all MMU
leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela.
1)yeye sio mkosaji: hapa nazungumzia kupatikana na hatia. yaani kama kakukosea lazima atengeneze maelezo mengi mpaka akuset ujione wewe ndie uliye kosea kumbe ni yeye.
2) hajui kuomba/kutamka SAMAHANI. hapa hata kama kakukosea kamwe samahani hajaumbiwa kinywani mwake.
3)kujikweza: hapa utakuta kila mwenzie au jirani yake akifanya jambo zuri utasikia yeye anaona kama hamna kitu .
4)ujuaji:hapa atataka kuonesha umwamba wa kila kitu kwamba anakijua. mfano unakuta ye ni daktari basi akifika kwa mjenzi atampelekesha kiudaktari na wakati professional ya udaktar haiingiliani na ujenzi
5)kiburi: hapa huwa hasikilizi ushauri haambiwi haambiliki anaweza akanya mlangoni kwako ukimuuliza utasikia ina gharimu kiasi gani kwani? badala hata utoe excuss.
6)sifa: hapa akitoa hela ndani atatangaza ukoo mzima hadi wale marafiki wa utotoni wajue. au akisikia michango utaona atatoa kiwango kikubwa tofauti nakilichopangwa ili aonekane zimo.
7)wanamsahau Allah /Mungu. hapa ibada kwao ni mwiko siku ya ijumaa ni siku ya kununulia bia wanaita weekend mood. wale wajumapili utasikia ndio nafua.
8)----------
9)--------
10------
nawakaribisha mmalizie sifa za wanaume baadhi wakipata hela za ghafla..
Acha ujingaa wewe utakuwa unaambatana na malimbukeni tu wanaume wa ukweli hatupo hivo.
 
Back
Top Bottom