Jamani kuna vitu vya kumwambia lakini hii iko very obvious...Dada yao ni mtu mzima ,hata wao ni over 18 yrs ...sasa hapo nini cha kumwambia? ..ina maana nyie huwa hamjielewi eti?....hata sebuleni wanakaa mikao ya hasara sasa kuna cha kuwaambia hapo?Ongea na Dada yao, huu uzungu utatuharibia ndoa jaman
Wote watu wazima....naamini kila kitu kiko obvious niongee nao nini? nilishagusiaga kwa mbali naona kwao siyo ishu ni kama vile naonekana mnoko.....hawawezi kukaa mbali na dada yao ndiyo wanamtegemea....Zungumza na dada yao,ikiwezekana msiishi pamoja nao, kwani kuendelea kukaa nao kutahatarisha mahusiano yako na dada yao.
Moja ya ushujaa wa mwanamme ni kujiuzui kutembea na wadogo wa mkeo ivi tz mtindo wa kaka yako kumuita mkeo mke wake mdogo amshike mkono then akamle kabs alafu ujue undugu utaisha kabs hayo ni malezi ya kwao kuingia chumba cha kaka yao na mengine mengi hata wasingeingia chumbani kama wanatamanisha ungetamani tu kula kuna wazur zaid hayo nje katafute acha udomo zege kijana utaharibu heshima yako acha ubwege mwanaume we unaweza kumbe kula hata dada ako angekua mzur machoni pako staha ni pamoja na kumuacha ndugu wa mkeo mana utakua umemueshimu sana fikiria mtu anaetembea na rafiki wa mkewe alafu ajue anavyoumia alafu we utembee na mdogo wake utakuja tembea na watt wa kaka zako kijana jishike
Mhm hii too much mkuu....Watie mimba
Kaa mbali nao mzee usiguse kabs kwa afya ya ndoa yako kama unampenda mke lkn kama unapita basi sawa mana kikinuka basnakuelewa.....nje nina michepuko ya kutosha.....lakini nyumbani napata wakati mgumu sababu sielewi labda wananiona mimi ni zezeta kwa kutowashughulikia.....sasa ndiyo maana naomba ushauri wa wataalamu hizo dalili zinamaanisha nini nisije likoroga......