Wewe me au ke???Moja ya ushujaa wa mwanamme ni kujiuzui kutembea na wadogo wa mkeo ivi tz mtindo wa kaka yako kumuita mkeo mke wake mdogo amshike mkono then akamle kabs alafu ujue undugu utaisha kabs hayo ni malezi ya kwao kuingia chumba cha kaka yao na mengine mengi hata wasingeingia chumbani kama wanatamanisha ungetamani tu kula kuna wazur zaid hayo nje katafute acha udomo zege kijana utaharibu heshima yako acha ubwege mwanaume we unaweza kumbe kula hata dada ako angekua mzur machoni pako staha ni pamoja na kumuacha ndugu wa mkeo mana utakua umemueshimu sana fikiria mtu anaetembea na rafiki wa mkewe alafu ajue anavyoumia alafu we utembee na mdogo wake utakuja tembea na watt wa kaka zako kijana jishike
Acha woga MASE sio wote ni wabaya, ukikutana na mim hutajuta, nakupa penzi wengine wanaliota tu, karibuWewe me au ke???
If me,wanaume wote wangekuwa na mitazamo na heshima kama wewe,kungekuwa na amani sana maishani...
Ahahahahaha moja ya heshima duniani ili ufanikiwe ni kumueshimu mke wako mana ni siraha mbaya once akiwa adui yakoWewe me au ke???
If me,wanaume wote wangekuwa na mitazamo na heshima kama wewe,kungekuwa na amani sana maishani...
Huyo kwenye profile yako (Avatar) anaitwa Bob Risky ..aka Idris Okeye..ni mwanaume! sijui unalijua hilo?Ongea na Dada yao, huu uzungu utatuharibia ndoa jaman
Hahahaha kwani jamaa amekuudhi nn? umeamua kum-brand mpaka anachukia..sio poa proffesionally mazee..unaona sifa lakini its like a character assassination !Hao shemeji zako ilitakiwa uwakabidhi kwa jemedari wa vita za nyikani Dr. Shika na Mwanasheria wake msomi bwana Petro E. Mselewa. Wangelijua Jiji na 200 ingewapendeza.
Jamaa huwa napenda kubonyeza vifungo (press his buttons) vyake ili nijue ustaamilivu wake kama Mwanasheria. Lakini huwa always anathibisha point yangu ya kwamba Tanzania bado sana kwenye suala zima la professionalism. Hakuna sehemu yoyote niliyofanya "character assassination" mkuu. Kwa sababu simjui huyo jamaa. Just trying to prove my point.Hahahaha kwani jamaa amekuudhi nn? umeamua kum-brand mpaka anachukia..sio poa proffesionally mazee..unaona sifa lakini its like a character assassination !
Nini kilikupelekea uthubutu ku'press buttons zake??Jamaa huwa napenda kubonyeza vifungo (press his buttons) vyake ili nijue ustaamilivu wake kama Mwanasheria. Lakini huwa always anathibisha point yangu ya kwamba Tanzania bado sana kwenye suala zima la professionalism. Hakuna sehemu yoyote niliyofanya "character assassination" mkuu. Kwa sababu simjui huyo jamaa. Just trying to prove my point.
Ova.
Kuna siku nilikuwa najadili suala kwa hoja. Yeye akarukia na kuingiza siasa katika suala ambalo lilikuwa halihitaji Siasa. Tokea hapo alipata moto wa ajabu na kutokwa povu la Foma gold.Nini kilikupelekea uthubutu ku'press buttons zake??
Na kwanini utoe maneno ama maoni ya jumla kwamba suala la profesionalism "bado" Tanzania?
Jamaa ni wakili..sasa ukizungumzia weledi wa fundi mchundo wa Kimbapala Ruvuma kwa ujumla ulioweka wa Uprofessionalism Tanzania..unadhani unatenda hakii kwake na sisi waTanzania Wanahabari wa huku Inyanchoki?
Hapo kwenye professionalism sijaridhika? mpaka napata Wasiwasi na uzalendo ulio uhubiri..Kuna siku nilikuwa najadili suala kwa hoja. Yeye akarukia na kuingiza siasa katika suala ambalo lilikuwa halihitaji Siasa. Tokea hapo alipata moto wa ajabu na kutokwa povu la Foma gold.
Ninazungumzia masuala ya professionalism kwa Tanzania ni bado sana kwa sababu changamoto ninazokutana mara kwa mara katika matatizo ya Kijamii.
Mimi ni MTANZANIA tena niliyekunywa Maji ya bendera na niko tayari kuipigania nchi yangu wakati wowote kwa mujibu na taratibu ya mafunzo niliyopata Jeshini.
Tulikuwa tunaendelea vyema na mjadala mpaka hapo ulipoamua kunikejeli na kunikosea heshima.Hapo kwenye professionalism sijaridhika? mpaka napata Wasiwasi na uzalendo ulio uhubiri..
Ni kwakiasi gani umekua msaada wa kutatua changamoto wanazo kabiliana nazo wanajamii )Watanzania wenzako?)
Au ukiwaona wanalalamika na wewe unashika kiuno kama Lusinde na kuanza kuwaya waya kama wanawake wa sokoni?
dude! duniani tumekuja kutenda haki na wala si kudai haki!
Ukiona kundi ama MTU anadai haki basi tambua kwamba kuna mahali MTU hajatimiza wajibu wake!
Haki inaendana na wajibu!
Tenda haki brother..play your part!
cheers
Achana na jazba..we chukua ya msingi pumba weka Kule..kula gwara!Tulikuwa tunaendelea vyema na mjadala mpaka hapo ulipoamua kunikejeli na kunikosea heshima.
Nakutakia asubuhi njema boss. Just take it as you see it fits.
Naked truthAhahahahaha moja ya heshima duniani ili ufanikiwe ni kumueshimu mke wako mana ni siraha mbaya once akiwa adui yako