Tabia za mashemeji zangu hazieleweki

Tabia za mashemeji zangu hazieleweki

Mke wako ana matatizo makubwa sana!
Da Demi mambo.
Embu mshauri huyu ndugu yetu.

Afanye nini kusolve hili tatizo bila ya kusababisha ndugu (mashemeji zake kununiana)

Mimi kiufupi sishauri atembee na hao mashemeji zake.
 
Nenda kwa hatua,.kuna wasichana wapo simple simple, ila ukigusia suala la kuwavua pichu ndio utaona true colours, angalia usikimbie uwaachie room na kitanda hicho
Na tena wasichana kama hao huwezi kuwavua chupi hivi hivi
 
Wote watu wazima....naamini kila kitu kiko obvious niongee nao nini? nilishagusiaga kwa mbali naona kwao siyo ishu ni kama vile naonekana mnoko.....hawawezi kukaa mbali na dada yao ndiyo wanamtegemea....
Nadhani kwa sasa ubongo wako haufanyi kaz
Tamaa ishakujaa kichwani.
Hii ni mbaya sana.
Jaribu kutoshinda sana nyumbani na mashemeji zako.
Na ukiwa mwenyewe home funga mlango.
Akitaka kuingia chumbani wewe toka ama mwambie mkeo aweke viatu vyake kwenye vyumba vyao ama kwenye korido.
In short kuna optiona nyingi sana za kuikimbia zinaa.
Zinaa inakimbiwa ikishapana kichwani haizuiliki.

Kuwa makini sana.
 
Wadau,

Hawa mashemeji zangu wa kike wapo kama watatu ambao tunaivana sana wawili tunakaa nao mmoja huja na kuondoka ni washkaji wakaribu lakini wamezoea chumbani kwetu na dada yao kupita kiasi yaani imefikia mahali wameacha hata kugonga mlango wa chumbani.

Sijui ni uzungu au nini yaani dada yao hana habari kabisa wala hastuki huwa wanavaliana nguo, viatu nk hivyo muda wowote ndani, matokeo yake huwa wananikuta kifua wazi na taulo nk nk.

Hawajali na wao huwa wanavaa kihasara hasara hivyo yaani kuwachungulia chupi siyo ishu sana, kimsingi wananitamanisha sana naona kama wananipa mtihani wa urijali wangu.

Hii wanafanya hata kama dada yao hayupo, wapo free naweza kuwa nimejilaza chumbani unastukia shemeji huyo kaja kutafuta kiatu nk nk uvunguni, kabatini.

Mashine inasimama mpaka najuta, sasa niko kwenye dilemma manake sijajua nikijaribu kuomba itakuwaje halafu sitaki kuwa mnoko kwa kuwakataza ingawa huwa namwambia wife kiaina ila wanatamanisha.

Kwa kifupi niko kwenye dilemma kuu.

Naomba ushauri wadau ishu iko serious
kaka hebu wapakue
 
Kama ni kweli usemayo! Wanawake mengine tunajitakia !! Hakuna ruhusa ya si Mdogo wangu tu hata mama yangu kuingia chumbani kwangu na mume wangu Nakumbuka wengi waliingia chumbani kwetu wakati mwenzangu alipopata ajali na kulala kitandani ila baada ya hapo wanapasikia tu! Si adabu hata kidogo ndugu zako kugeuza faragha yenu kua ukumbi wa kuingia na kutoka! Hao hawajafundwa
 
Ayaaaaaa hizi bahati huwafikia wachungaji tu kama wewe
 
Da Demi mambo.
Embu mshauri huyu ndugu yetu.

Afanye nini kusolve hili tatizo bila ya kusababisha ndugu (mashemeji zake kununiana)

Mimi kiufupi sishauri atembee na hao mashemeji zake.
Mke yoyote anayejitambua hataruhusu mtu yoyote yule kuingia chumbani kwake.
Hayo ni malezi mabaya mno. Inashangaza kuona mashemeji wanakaa kihasara hasara na dada yao anaona sawa, kuna tatizo kubwa! Inawezekana pia huyo dada akienda kwa ndugu ambae ana mume anajiachia hovyo hovyo tu.
Mume akiwala hao mashemeji atamlaumu nani? Maana tayari mume anafurahia na atawagegeda tu iwe isiwe maana tabia za baadhi ya wanaume nao ni shida.
Anashindwaje kumwambia mke wake kuwa haistahili kuwa hivyo?
 
Ulivyoandika tu kuwa una mashemeji "Kama watatu hivi"

Na hapo ulipoandika kuwa wanakaa kihasara hasara "Kuwaona chupi sio ishu" nikaanza kujua hii imekosa tangawizi tu.
 
Kama ni kweli usemayo! Wanawake mengine tunajitakia !! Hakuna ruhusa ya si Mdogo wangu tu hata mama yangu kuingia chumbani kwangu na mume wangu Nakumbuka wengi waliingia chumbani kwetu wakati mwenzangu alipopata ajali na kulala kitandani ila baada ya hapo wanapasikia tu! Si adabu hata kidogo ndugu zako kugeuza faragha yenu kua ukumbi wa kuingia na kutoka! Hao hawajafundwa
Sorry, umemwamini mtoa mada?
 
Me zamani wawili niliwala uwiiii,nilikuwa tukitoka kazini usiku na dadaake tunaingia chumbani kwake na vitafunwa vya asubuhi kumuwekea kwa sababu tunlikuwa tunachelewaga kuamka yeye anawahi,sasa tukiingia kikanga kimetupika kulee chupi ya kawaida imezama matakoni,na alikuwa kidogo kafungasha,moyo ukawa unasumbuka ila dada mtu hakuwa anajali,nikamueleza kuwa mimi napata usumbufu huyu ni mdogo wako na ni mkubwa above 18 na mimi kichwa cha chini hakina amani,mwanzomwnzo nikawa nikiona tu dada mtu namkomoa mpaka kiwango cha show kikapanda kumbe navutia kwa mdogo wake.baada ya kumuelez akaelewa lakini ile damage ya kichwa cha chini ikawa tayari imezidi cha juu.Nilimuomba akanipa,yaani nlijisevia haswa.

Siku umepewa sumu ndo utajua kwa nini watoto huita maji MMA!! Ni aibu sana kwa mwanaume kumla mdogo wake na mkeo... Wanawake hua wanaumia sana nakuona ni dharau kubwa sana kwa familia yao kushare dushe la mtu mmoja na mdogo wake,tena umeoa kabisa?? Bora angekua hawara angalau...
 
Kwann nisimuamini wakati yanatokea sana kwenye jamii zetu!? Kama si yeye basi hata jirani yake yanamkuta
Sawa, sasa mbona umeanza kuandika "Kama ni kweli" ndio ukamshauri?
 
tamaa mbaya irakuvurugia amani ya ndoa yako mpaka siku unakufa let it pass hao wapumbavu wanaojisifia walifanyaga ni watoto wa shule sasa wew waige uaribu ndoa yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom