Tabia za mashemeji zangu hazieleweki

Tabia za mashemeji zangu hazieleweki

Wadau,

Hawa mashemeji zangu wa kike wapo kama watatu ambao tunaivana sana wawili tunakaa nao mmoja huja na kuondoka ni washkaji wakaribu lakini wamezoea chumbani kwetu na dada yao kupita kiasi yaani imefikia mahali wameacha hata kugonga mlango wa chumbani.

Sijui ni uzungu au nini yaani dada yao hana habari kabisa wala hastuki huwa wanavaliana nguo, viatu nk hivyo muda wowote ndani, matokeo yake huwa wananikuta kifua wazi na taulo nk nk.

Hawajali na wao huwa wanavaa kihasara hasara hivyo yaani kuwachungulia chupi siyo ishu sana, kimsingi wananitamanisha sana naona kama wananipa mtihani wa urijali wangu.

Hii wanafanya hata kama dada yao hayupo, wapo free naweza kuwa nimejilaza chumbani unastukia shemeji huyo kaja kutafuta kiatu nk nk uvunguni, kabatini.

Mashine inasimama mpaka najuta, sasa niko kwenye dilemma manake sijajua nikijaribu kuomba itakuwaje halafu sitaki kuwa mnoko kwa kuwakataza ingawa huwa namwambia wife kiaina ila wanatamanisha.

Kwa kifupi niko kwenye dilemma kuu.

Naomba ushauri wadau ishu iko serious

Ushauri utakao pewa,changanya na akili zako mkuu,unaweza pewa sumu ya slow killing poison, hii kitu nina experience nayo
 
We jamaa kumbe bado ujawatafuna tofuna mkuu sema kumbuka kinga
 
Hapo huyo mkeo anakushangaa Kwa kutowatafuna wadogo zake hadi muda huu uenda anawatuma anataka uwatafune mkeo anapenda uwamix wote
 
Wote watu wazima....naamini kila kitu kiko obvious niongee nao nini? nilishagusiaga kwa mbali naona kwao siyo ishu ni kama vile naonekana mnoko.....hawawezi kukaa mbali na dada yao ndiyo wanamtegemea....
Mwambie dada yao kuwa wadogo zake wanakutamanisha uone atakavyo pokea ilo swala ndo utajua cha kufanya usikute yeye anatamani uwatafune na wadogo zake ?
 
Ukimkaribisha mdogo wako wa kiume home itapendeza zaidi.

Atakusaidia kutatua hilo tatzo kwa kuwala yeye, just financ him, huwenda wana vmihemko tu bro
 
Kula wote wasije wakakuona wewe ni jike mwenzao
 
Siku umepewa sumu ndo utajua kwa nini watoto huita maji MMA!! Ni aibu sana kwa mwanaume kumla mdogo wake na mkeo... Wanawake hua wanaumia sana nakuona ni dharau kubwa sana kwa familia yao kushare dushe la mtu mmoja na mdogo wake,tena umeoa kabisa?? Bora angekua hawara angalau...
Kwani utamwambia umemla au umewala wadogo zake?Utakuwa na kichaa.
 
Kwani utamwambia umemla au umewala wadogo zake?Utakuwa na kichaa.

Uzuri wa mapenzi hua sio kama uchi wa mtu mzima mwenye akili timamu,kwamba utaficha kila wakati... Mapenzi hayana siri,utamla mdogo wake leo,kesho dalili za kumuzarau dada yake zinaaanza.... Usije jaribu kabisa utaishiwa kuitwa marahemu bure, don't die before your time.... Acha kuongeza jina mbele ya majina yako...
 
Kula tu no problem dada yao ndo kakuletea chakula ndan
 
Uzuri wa mapenzi hua sio kama uchi wa mtu mzima mwenye akili timamu,kwamba utaficha kila wakati... Mapenzi hayana siri,utamla mdogo wake leo,kesho dalili za kumuzarau dada yake zinaaanza.... Usije jaribu kabisa utaishiwa kuitwa marahemu bure, don't die before your time.... Acha kuongeza jina mbele ya majina yako...
Mkuu mbona niliwala hadi wakaolewa na dada mtu hakujua?Mapenzi ya kijifichaficha yana utamu wake na siwezi kumdharau mtu kwa sababu ya mtu mwingine
 
Umeruhusu mwenyewe unalalamika mwenyewe, maliza tatizo mwenyewe na inaonekana hueshimiki kabisa kwao maana wasingefanya hivyo.
Au umeoa ktk familia chakaramu isiyokuwa na nidhamu, haikulelewa ktk maadili.
 
Ww utakua unapenda unashindwaje kuwafokea kwa ukali,,na huyo mkeo hajielewii
 
Kiume; wapige stop tena kwa kikao maalum mbele ya dada yao. Kwa seriousnes ya aina yake waambie no mwiko kuingia chumban kwako wala kuvaliana nguo na dada yao. Mimi nilifanya hivyo na wakanichukia, lakini heshima ilitawala. Kumla shemeji si salama kwa sababu anaweza kukupa zaidi ya mkeo ukajikuta umehamishia kampuni kwa shemeji na jamii ikakushangaa. Aibu!!
 
Hawezi...trust me! Angekuwa ana ubavu huo asingeleta hii mada hapa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom