Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,601
- 6,723
Hata no 8 umemuacha kisa kukoroma haya tafuta mkamilifu...utabadili wanaume kama nguo
Hivi hajui inawezekana na yy huwa anakoroma akiwa fofofo.
Hata no 8 umemuacha kisa kukoroma haya tafuta mkamilifu...utabadili wanaume kama nguo
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda
SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken
angalia, namba 9 na 10 wanaweza kuwa mashetani, kwani wanadamu umewashindwa, jaribu majini.EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda
SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda
SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda
SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken
Lol..wewe umekamilika kila idara? ukichagua sana mwishowe utachagua koroma.
DUNIA yako PAPUCHI yako..... Chagua umtakaye!!!!!!!!!!!
watu8 inawezekana changamsha jukwaa ila uhalisia ukawa huo ameacha wote nane hao na hawa ni wale waliodumu ila wale ambao hawajadumu sijui watakuwa wangapi unaweza kuta anafunga Dar Express nzima
no. 4 ndo aliye kuongezea nuksi.... hope hujakata tamaa....EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake