Tabia za maEX wangu

Tabia za maEX wangu

Jenu

Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
70
Reaction score
44
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda


SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken
 
Duh! Inavyoelekea una bonge la limvungu a.k.a vongo!!!!!
 
Hata no 8 umemuacha kisa kukoroma haya tafuta mkamilifu...utabadili wanaume kama nguo
 
mhhhh ingelikuwa wanaacha suguru kwenye nanihino mbona ingekuwa hatariiii
 
Kwani mwanamke hana haki ya kumuacha mtu asiyemtaka? Na ukionana nae baada ya hao nane hutagundua walipita nane maana maumbile yake yakakuwa normal tu. Mwanaume kubadilisha wanawake ndio sawa, mwanamke kumwacha asiyemtaka na kuwa na mwingine baadae ni umalaya!! Mfumo dume unfair
 
hahahaha pole sana,ni maamuzi magumu sana dunia hii kuishi peke yako.

Ina maana haukufanikiwa mpaka sasa?
 
kweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good
 
Dah! hata yeye ameenda kusema ya kwako huko zilizomfanya akate mawasiliano na wewe na kuoa mwanamke mwingine huku wewe ukiendelea kuwepowepo kwanza ukiendelea kuhebu wenye mapungufu wkt mwenzio anakula raha na huyo unayesema anakoroma kumbuka generator linakoroma huku likizalisha umeme sasa sijui bibie unataka yasiyokoroma? hata mimi nilikuwa na mpango wa kuja kujiexpress my self kumbe ndo ulivyo?
 
Lol..wewe umekamilika kila idara? ukichagua sana mwishowe utachagua koroma.
 
kweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good

Naona unatafuta wafuasi...! Mimi sikoromi ebu niachie huyu mwakani nioe Mentor mm nshachoka baridi...
 
kweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good

hahaha yaani nyie mwajitusi wenyewe...sasa wamebaki vimeo ukimaanisha na wanawake waliobaki nao vimeo tuu...wakugegedwa na kutupa kule
 
Huko chini hakujaharibika?mana hao wote wa 8 wawe walitupia kitu lazima watanue. Kipochi chako cha manyoya

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda


SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken
Kha, Watu nane wote wamekupitia, ukiongeza na wale wa chapu chapu si wanafika hata mia moja??.
 
Hahah....
Hivi mwanamke ukiachana na wanaume wote hao....binafsi nahisi tatizo lipo kwa mwanamke.

Btw hii thread itakuwa changamsha jukwaa tu coz that's what Jenu does best
 
kweli kabisa wazuri hakuna!vimebaki vimeo vitupu..either ubanane nao au uachie ngazi for good

Maneno ya mkosaji haya...wenzako wapo hapa hapa duniani wana enjoy mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom