Tabia za maEX wangu

Tabia za maEX wangu

hiyo papuchi itapata soil erosion kwa hiyo staili yake ya kugawa
Nilikuwa namjibu mtoa mada kuwa "Dunia ni yake na papuchi ni yake" So hakuna tatizo aendelee tu kugawa atakuja kumpata mmiliki halali!!!!!!!!!!!!
 
Afadhali umesema ukweli mwaya....... maana unaweza kutana na mdada ukamuuliza mahusiano yako yazamani? Akakwambia nilishawahi kuwa na boy mmoja tu....... kumbe huko nyuma alikuwa kajaza mabehewa ya mwakyembe, na unaamini uongo huo unaoa, kwasababu hakuna alama ya wewe kujua alishakuwa na wangapi. Na hii ndio dawa yenu wanaume kudanganywa full stop.
 
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
Kwani ulikua unauza??

EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka

Kwanini alikudanganya?

EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa

Ilikuwaje hadi ikawa hivi?
Ulijiuliza iweje mtu akulambe mara moja tu halafu akimbie na ufikiri tatizo ni lake na sio lako?
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi

Hii inamaana ulikubali kuwa na mahusiano na mume wa mtu
Kwanini unamlaumu?
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana

Unatafuta mtu asie na udhaifu?
Kuna mambo yakisababisha ukamuacha mume au mke unakuwa wewe ulieacha ni wa hovyo
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti

Hii maana yake nini?
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda

Kwa hili wewe ni wa hovyo sana na hufai kuwa mke wala mama kabisa!!!!!!!

SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken

Kwani wewe ulikuwa unahitaji mwanaume anaefaa au uyako ambae hayupo kabisa?
Hufai kabisa!!!!!!
 
Duuhh sijui kigegedo chako kiko used kiasi gani!!!??? Hebu tupe wasifu wa vigegedo vya njemba saba zilizojipigia mpaka zote zikakutosa...aisee unatisha njemba saba...utakuwa beyond maintenance...yaani used too much!!!
 
EX no1 alikuwa bahiri,sijawahi ukiona hata sh kumi yake
EX no2 alinidanganya kumbe Ana mchumba,niligundua baada ya mwaka
EX no3 nae aliniacha baada ya tendo akakata mawasiliano,after 1yr akaoa
EX no4 alikuwa mume wa mtu,baadae yalinishinda nikaachia ngazi
EX no5 alikuwa classmate,alikuwa na wivu sana tukashindwana
Ex no6 ,7 wanaume suruali nikawapiga vibuti
Ex no8,usiku anakoroma utazani generator,yalinishinda

SASA nimeamua kubaki single, all good men are taken

Nenda kaoge baharini, utakuwa na jini "MZIRO"
 
Jenu;
Not true. Good men are still as available as money in an economic system. You only have to note that one of the most important characteristics of money in a system is that it's always scarce. Added to the facts as stated in the quoted paragraph above, I see it as almost impossible for you to have access to any kind of men because they would not like to get any closer to you, not even the worst ones (assuming there are any, something which I do not imagine)
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom