Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,286
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.
Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.
Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.
Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.