Tabia za kumdanganya mh Rais zitakoma lini!?

Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.

Binafsi, nimewahi kutizama ile ramani zaidi ya mara kumi. Naiona Tanesco na Wizara ya maji vipo na huku barabara pia ikiwepo.
 
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
wewe hilo jengo linakuhusu nini mbona unatokwa sana povu
 
Kunani hilo jengo mbona kuna nguvu kubwa ya kulitetea kuliko nyumba za Maskini wenzetu kule kimara,Bukoba na Sumbawanga.
Kiuhalisia haliko ndani road reserve... part ya pale parking mbele ndo imemegwa na tanroads waliweka alama wapi sehemu yao inaishia na ndipo wanajenga ukuta wao mpya...na hii ni mara ya pili sehemu yao ya mbele inamegwa
 
Duh!Hata Mugabe alidanganywa akaendelea kukalia kiti cha URAIS,sasa kama mwenyewe amekubali kudanganyika unamfanyaje?
 
Nilisema mimi haya jana kwenye thread nyingine.... kama tanesco ilitakiwa kuvunjwa sehemu... kwanini wajenge ukuta mpya knowing wanatakiwa kuuvunja tena... tuache ushabiki maandazi
Yaani wanadhani eti wakivunja jengo la tanesco watapunguza hasira za wakazi wa kimara...wanajidanganya...kwanza ni kuendelea kuchezea kodi zetu
 
Waniuzie mimi hilo ghorofa,alafu nitazungumza na TANROADS,nadhani milioni 900 itapendeza!
 
Two wrongs never make it right! Sisi kama binadamu tuna utashi, na tunajifunza kutokana na makosa yetu. Utakuwa ni ujinga ku-justify kosa kwa reference ya kosa jingine.

Swali la kujiuliza ni kwamba serikali imefanya cost and benefit analysis ya kuvunja jengo hilo?
Cost and benefit analysis itafanyikaje wakati Mkulu kishaamua!?

Swali, ni kwa nini amri hiyo ilitoka bila kuangalia hayo mambo!!
 
Bomoa bomoa mkuuuuuuuu,,,,,,,,,bomoa,ukitaka hata ikulu bomoa aaaa imechoka pesa ipo tujenge nyingine,
 
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
ni baada ya sizonje kujitambua
 
Back
Top Bottom