Tabia za kumdanganya mh Rais zitakoma lini!?

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,285
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
 
Jana mh rais akiwa ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi rais anavyodanganywa.
Jana kipindi rais anatoka airport alivyofika tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita ubungo kuona maendeleo yabflyovers za pale.kwakua ilikua Ni gafla sana kati ya watu waliokua kwenye msafara wa rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndo waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakua hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakua ukaguzi ulikua Ni wa gafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo..
Cha kushangaza Jana rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king,
Napenda nimkumbushe mh.rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za ubungo.
Isije kuwa wewe ndio unatudanganya!! Weka uthibitisho wa ramani!
 
Kati ya wewe bush engineer na engineers wenye dhamana ya mradi nani aaminiwe?
 
Sidhani kama rais kakurupuka anaelewa nini anafanya, si kila kitu kulaumu, nyumba ngapi zimebomolewa kwa nini Tanesco iwe ni ya kujadiliwa sana. Je haipo kwenye Barabara ya akiba? Kama ni hivyo kwa nini watu wajitoe fahamu kwa kulaumu?
 
Two wrongs never make it right! Sisi kama binadamu tuna utashi, na tunajifunza kutokana na makosa yetu. Utakuwa ni ujinga ku-justify kosa kwa reference ya kosa jingine.

Swali la kujiuliza ni kwamba serikali imefanya cost and benefit analysis ya kuvunja jengo hilo?
 
Poroja Ramani ishatoka kitambo njia za kutokea Mandela Road Kuelekea Kimara laazima ziguse lilr Jengo japo nusu ile Barabara inahitaji sana sapace maana Huduma za kijamiii kama Maji na mabomba yake yatapita pembeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom