Tabia za kumdanganya mh Rais zitakoma lini!?

Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
Kama atakubali ushauri wako njoo uchukue zile zinazotosha
 
Two wrongs never make it right! Sisi kama binadamu tuna utashi, na tunajifunza kutokana na makosa yetu. Utakuwa ni ujinga ku-justify kosa kwa reference ya kosa jingine.

Swali la kujiuliza ni kwamba serikali imefanya cost and benefit analysis ya kuvunja jengo hilo?
Jibu la swali lako ni kwamba cost-benefit analysis wamefanya Magu na Bashite!
 
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.

Wakati mwingine maswali yanakuwa mengi sana bila majibu mubashara, maana siyo jengo tu, Kwa kuwa kama jengo la TANESCO linabomelewa Mitambo ya Songas na ofisi zake, Grid Control Centre, HV Switch yard na Ubungo Gas Plant - 1 aka Wartsilar vinaponaje???? Unless wanataka kupajenga kituo cha daladala!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
Wacha wamdanganye tu kwa kuwa naye kwa Uwongo amefuzu, amekutana na wenzie
 
wewe umejuaje kama tanesco na mkandarasi wameshakaa? nani aliyekuonyesha ramani ilete hapa pamoja na siku na muda waliokaa kikao
 
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
Tatizo si rais kudanganywa,tatizo rais anayetoa maamuzi kwa kukurupuka.

Rais anayetoa maamuzi ya hapo kwa papo,hata akiambiwa ukweli mtupu anaweza kutoa maamuzi mabaya.

Rais anayechekecha mambo na kuhakiki kabla ya kuamua, hata kudanganyika hadanganyiki na maamuzi yake yanakuwa mazuri.

Tatizo ni Magufuli.
 
Naweza kuamini andiko lako. Ushahidi ni kuvunjwa kwa jengo la walinzi na uzio wa awali na kisha kujengwa mwingine mita kadhaa ndani ili kuacha nafasi. Tanesco wasingefanya hata kwa utashi wao.
 
Mkuu
Jana Rais akiwa Ubungo alitoa amri ya kubomoa jengo la Tanesco,naomba nitoe Maelezo kidogo ya jinsi Rais anavyodanganywa.

Jana kipindi Rais anatoka airport alivyofika Tazara na kuona maendeleo ya flyovers pale aliomba pia kupita Ubungo kuona maendeleo ya flyovers za pale.kwakuwa ilikuwa ni ghafla sana kati ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rais waliwatonya wale wachina wa China civil ambao ndio waliopewa tenda ya ujenzi pale kwamba mkuu anapita,
Kwakuwa hawakuwa na sababu za msingi za ucheleweshwaji kazi na kwakuwa ukaguzi ulikuwa ni wa ghafla mno waliamua kuwasikingizia Tanesco wakati kimsingi walishakaa na hao Tanesco na kuamua Barabara zipita pembezoni kwa jengo na mpaka ramani ya jinsi barabara zitakavyopita maeneo Yale ya jengo.

Cha kushangaza Jana Rais kadanganywa na kwa bahati mbaya na yeye kwa kukutokujua aliingia king.

Napenda nimkumbushe Rais lile jengo halina haja ya kubomolewa kwani halina athari yoyote katika ujenzi wa flyover za Ubungo.
Mkuu, kwani tabia ya mkulu kudanganywa kainza linI?
 
Tanzania ishi nami
 
Weka vyeti vyako mezani na ramani na si maneno ya mpiga ramri.
 
Ina maana hakuna namna ya kujenga flyover ya ubungo bila kugusa jengo la ppf tanesco na wizara ya maji?, kuvunja jengo lenyewe ni gharama, then likajengwe lingine tena? Kwa gharama ya nani? Jengo lenyewe limejengwa kwa mkopo sina uhakika km mkopo umeshamaliza kulipwa.
 
51 Billions za pension fund(PPF) unataka tusitumie nguvu kutetea
Ni mjinga tu atakayeunga mkono kuteketeza 51bn,tjen tuende eneo lingine tuanze kupanga kwanza wakati tu nasubiria kuanza mchakato wa ujenzi wa jengo jipya, gharama yote hii nani wa kuilipa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom