Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,849
- 730,378
-Mwisho wa namba ni moja, akiwa na mayai kumi ukayaondoa yote hatagi tena ila ukimbakishia moja ataendelea.
-Akitaka kuangalia juu lazima jicho moja liangalie chini.
-Akitaka kusikiliza kitu lazima ageuze shingo kuweza kunasa mawimbi ya sauti.
-Hana kumbukumbu ya jana, akiamka uelekeo akaokwenda ndio huohuo.
-Ukimpiga kidogo tu kichwani anapoteza mwelekeo wote na kuchanganyikiwa kabisa.
- Hawezi kurudi rivasi hata kwa fimbo.
Mtu akikwambia una akili kama za kuku msamehe tu kwakuwa hajui alisemalo.