Ukiambiwa hujambo sio lazima utoe shikamoo. Kusini mtoto mdogo anaweza kukuambia hujambo na unajua wanaitikiaje......"eeeh".Nakerwa na hali ya mtu kupenda kupewa shikamoo. Unakuta mtu almost mnalingana alafu anakumbia 'hujambo'?
Wambea wa JF nao wanakera sana.
Unakuta jitu halikujui lakini kwa kujifanya linakujua ni bingwa. Kila mtu linamwambia 'aah yule Ngabu mi namjua sana yule'
Umenijulia wapi wewe mburula?
Halafu linaeneza umbea wake eti limekutana na wewe sehemu fulani wakati hata jinsi ufananavyo halijui.
Sasa mmekutania wapi kama mtu hata humjui zaidi ya kumsoma tu hapa JF?
Mazafacka hunijui sikujui, acha kujifanya unanijua. Kunijua siyo ujiko.
Au we ulidhani mashori watakushobokea ukijifanya unanijua?
6. people who can't keep time.
mf. anakualika sherehe/miadi saa 3pm lakini mnaanza 6pm. its fking annoying bora aseme kwamba tutachelewa kuliko kunipotezea 2-3hrs doing nothing
Acha hizo kuna hii pia.
Unasafiri na mtu kwenye basi la kwenda mkoa hadi mkoa (dar to mbeya, mfano) mara kaagiza machungwa, mara ndizi, mara mahindi ya kuchemshwa, mara karanga mbichi, mua,na anamalizia na mayai ya kuchemsha. baada ya muda watu hawakai hapo! full tantalizing smell!
hapo inabidi wanisamehe tuu!! ntaacha zawadi kwa ndugu wa karibu na kuondoka, unless the next day ni holiday.Yaan acha kabisa, iliwahi kutokea harusi moja hivi. Maharusi waliingia ukumbini 2200hrs imagine tulitoka saa ngapi hapo!!!!???
Acha hizo kuna hii pia.
Unasafiri na mtu kwenye basi la kwenda mkoa hadi mkoa (dar to mbeya, mfano) mara kaagiza machungwa, mara ndizi, mara mahindi ya kuchemshwa, mara karanga mbichi, mua,na anamalizia na mayai ya kuchemsha. baada ya muda watu hawakai hapo! full tantalizing smell!
Acha hizo kuna hii pia.
Unasafiri na mtu kwenye basi la kwenda mkoa hadi mkoa (dar to mbeya, mfano) mara kaagiza machungwa, mara ndizi, mara mahindi ya kuchemshwa, mara karanga mbichi, mua,na anamalizia na mayai ya kuchemsha. baada ya muda watu hawakai hapo! full tantalizing smell!
1. Kwenda haja ndogo na kubwa hovyo...
Hivi huwezi kuwa mstaarabu na kutafuta msala wa karibu walau hata kwenye bars au hata gas stations?
Yaani kuna sehemu ni maarufu kwa watu kumwaga oil zao tena bila hata aibu...Hebu tuwe wastaarabu bhanaaa...
2. Watu wanayopayuka ndani ya daladala, ndege na vyombo vingine vya usafiri...
Utakuta mtu anaongea kwa sauti kubwa kama Sued Mwinyi anatangaza mechi baina ya Yanga na TP Lindanda wana Kawekamo ya kina George Masatu...
Mmoja yupo nyuma na mwingine yupo mbele kabisa, wanasogoa weee wakati huenda mbali na kutumia lugha zao za asili...omba Mungu kisiwe Kisandawe au Kimasai(huu ni mfano tu)...
3. Wanaume ambao hata wakikuona upo na dada yako wanadhani ni kimada...
Hawa huwa wananikera hakuna mfano, "shemeji kapendeza" mara nyingi hiyo ni moja ya kauli za watu kama hawa...
Pia wapo wale wengine ambao huenda mbali zaidi na kuazna kupiga miluzi au kutoa machombezo yenye kuashiria matamanio ya kingono...
4. Wale wote wanaotupa hovyo uchafu...
Mtu umemaliza kunywa maji yako ya uhai, au Kiroba n.k...kwa nini usihifadhi hicho kifungashio na ukakiwage sehemu stahiki mbele ya safari...
Yaani sisi Watanzania sijui lini tutajifunza kutumia akili....ndio maana kuna vitu vingi nadhani Mungu kaamua kutunyima kwa sababu ya tabia zetu za ajabu ajabu...
5. Makonda waonyanyasa wanafunzi...
Hawa watu sijui hawajawahi kwenda shule au ni ulimbukeni! Yaani wasimuone mwanafunzi anasogelea gari, kirahisi tu utasikia "Oyaa limeshajaa"...
Magari yenyewe hata sio yao na wala hawana ndoto za kuwa na magari miaka 900, lakini ni watata zaidi ya utata wenyewe...
Ninayo mengi ya kuandika ila hayo machache ndio huwa yananikera sana labda na wenzangu mna ya kuongezea....
wanaume wanaoita wadada ovyo barabarani wakati mfukoni hata sh mia hana....
hapo inabidi wanisamehe tuu!! ntaacha zawadi kwa ndugu wa karibu na kuondoka, unless the next day ni holiday.
Hapo naona umenilenga mimi bhana charmingladyNyingine hii, mko kwenye usafiri wa puplic basi anatokea mtu anaweka loud speaker kwenye simu yake, simu yenyewe mchina na music hata haujulikani ni dogoli ama segere.... Wakati huo ndo muwe mnarudi home... mmechoka akili, mwili na damu. Huwa natamani nimwambie azime kha!!!!!