Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Waha, Wasukuma, Wamasai na Wanyakyusa haya makabila ni wasumbufu sana safarini.

Waha ubishi ubishi, Wasukuma kula kula, Wamasai mafuta yao wanatopakaa na kuongea na simu kwa sauti, Wanawake wa kinyakyusa wanajamba sana akigeuka kajamba.
Aisee jf Kuna Mambo nimecheka hatar eti wanawake wa kinyakyusa wanajamba sana!!!!
 
Ni kweli baadhi ya mambo yanakera lkn huwezi kufanya watu waishi unavyotaka wewe au wakufurahishe.Watu wamezaliwa ,wakakua ktk mazingira tofauti,familia tofauti,maadili tofauti.Jaribu tu kuishi maisha yako unayoona yanakupa ww amani.
Usichokipenda wewe kwa mwingine ni burudani.Kuna ambacho kwako ni burudan lkn kwa mwenzio ni kero.
ISHI MAISHA YAKO USIISHI MAISHA YA WATU WENGINE.WAACHIE MAISHA YAO.
 
Ila Huwa wana roho nzuri ya kugawa vitu vyao, Kuna mmoja alinikaribisha ndizi za kukaangwa na kuku af asubuhi tu, kila centre kubwa tukifika ananunua kitu cha kutafuna iwe mayai, matunda hadi mahindi.

Tulipofika kituo cha kupata lunch naye akashuka kula ubwabwa na kuku. Nilishangaa kimoyomoyo ila sikumind
Inakuwa kama mashindano
 
Nimepanda gar na masai mmoja alipiga chafya moja ushuzi ukasome ilibidi watu wafungue vioo kwanza
Ugoro eenye masiwa mgando na samli!😀
Hizi changamoto, kwakweli tunaosafiri, kusaka maisha Mungu atubarikie kazi zetu!

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Haha noma sana...

Angalia ndugu/ rafiki aliyepata mtoto hivi karibuni ukachukue experience hata kwa weekend moja. Ukisubiri wako utachelewa kujua na kuzoea vingi
Kwanini ahangaike kote huko dawa ni kumbebesha kiumbe tumboni huyo...
akizaa alee mwenyewe
 
Ushawahi kukaa na mzee much know kila kitu anajua yeye hata mada inaongelewa iko siti tano nyuma anataka achangie yeye.
 
Kupunguza hizi changamoto mimi huwa nikisafiri nakua na simu ndogo na headphone zile kubwa kwaajili ya muziki na shuka la kimasai

Nikiweka headphone zangu kisha najifunika na shuka langu la kimasai sina time na mtu

Hapa sana ntakua nasikilizia harufu ya mashuzi ya wala mayai parachichi nk
 
Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja

Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake

Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake

Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee

Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
hahaha au sio wakaka hawana tabu
 
Siku 1 nilipanda bus nikawa nimekaa siti 1 na dem mkali balaa, akawa anavaa chen yake inamshinda kufunga akaniomba nimsaidie kiukweli niliona raha sana ile safari sikutamani tufike.

KERO:
Unavua viatu kwenye bus unawakera watu buti inatoa harufu..
Siku 1 nilipanda gar na dada mmoja kakata ticket moja tu alaf anawatt wawil ikabid amuombe sister mmoja nilie kaa nae ambebe mtt, kero ikawa ananunua vyakula ovyo dirishan anawapa watt , dogo akatapika matapish yakanipata daah
 
Siku 1 nilipanda bus nikawa nimekaa siti 1 na dem mkali balaa, akawa anavaa chen yake inamshinda kufunga akaniomba nimsaidie kiukweli niliona raha sana ile safari sikutamani tufike.

KERO:
Unavua viatu kwenye bus unawakera watu buti inatoa harufu..
Siku 1 nilipanda gar na dada mmoja kakata ticket moja tu alaf anawatt wawil ikabid amuombe sister mmoja nilie kaa nae ambebe mtt, kero ikawa ananunua vyakula ovyo dirishan anawapa watt , dogo akatapika matapish yakanipata daah
Hukuchukua contact....
ama ndo vile domo kilo tatu...
 
Back
Top Bottom