Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Tabia hzo zote ulizotaja hata kwenye mwendokasi wenu huko dar zipo pia
 
Sala zenu jamani niko kwenye basi la mkoani hapa. Kuna mama wa kilokole kakaa nyuma yangu yaani tangu saa 12 safari imeanza yeye anaongea na simu tuu na kikubwa anachoongea ni kuwasengenya waumini wenzake, wachungaji, wafanyakazi wenzie mara wanaishi kwa kutegemea mikopo, mara sijui mdada gani hawezi kuolewa yule, mara mchungaji gani sijui anatumia ndumba.. yaani tabu tupu. Imebidi niweke earphones tu maana nimechoka kusikiliza huo utopolo.
 
Kweli mkuu...Mimi binafsi yamrnikuta mwaka huu kwenye harakati ya vitambulisho vya mpiga kura...
Tumeamka saa 11 alfajiri ikiwa ni deadline nimepanga foleni sana sasa ndo imekaribia kufika nipo mlangoni...ghafla jamaa mmoja mule ndani ( muhusika ) akatoka akarudi na mdada (Sista duu) flani hivi amemshika mkono...kelele zikaanza huko nyuma " hatukubali,hatukubali" watu wanawazuia jamaa alikua na nguvu akafanikiwa kupita ila yule Dada alikua anazuiwa na watu na Mimi kwa kua nilikua mlangoni nikazuia tu mlango asipite kwani tulihisi ni upendeleo(rushwa)...basi yule jamaa akaniambia " hebu muangalie huyu Dada" ile nainua macho daah! " Kipofu" niliachia mlangoni nikakaa pembeni faster...nikaanza kufeel guilty palepale.

Bahati nzuri sikutamka maneno yeyote mabaya kama walivyotamka watu wengi pale..sanasana wadada ambao walidiriki kumuita Dada yule mpaka kina la "Malaya" bila majibu yeyote kutoka kwa Dada yule.
Nilichojifunza Siku ile nitaishi nach o milele.
 

Poleni sana wakuu, ila ni vema sana kuzishinda emotional zetu manake sometimes tunafikia maamuzi yasiyo sahihi na majuto hufuatia tena ukute ni kitu kitakachokuumiza zaidi na si kwa siku moja...... sambaza love [emoji173]️ #Mshikaji kataja walevi ila akina sisi tunapiga kilaji ila tuko makini sana..... muhudumu mzigo umekata plz naomba one for this UZI plzzz......πŸ€™πŸΎ
 
Kuna wale matumbo mpakile, yakipita mahindi ya kuchoma twende, ya kuchemsha twende, mayai twende, sijui biscuit mpaka inakua kero though pesa ni zao.

Let's meet at the top, cheers 🍻
Binafsi hii inaniboa sana. Mtu asiepitwa na kitu
 
Pamoja mkuu!
 

Joanah janamke lenye 'kinyaa' soma hii
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haya bas kunywa kijoti kwa mangi nakuja kulipa [emoji3][emoji3][emoji3]
Kajojo niambie basi na mm jmn , ninye japo pulizina moja ya moto[emoji1787][emoji1787] nivimbe kidogo jf humu [emoji1787][emoji1787]
 
Mahindi ya kuchemsha hadi michuz inachuruzika mikononi
 
Kuna mdada tulipanda basi ubungo tulikuwa seat moja kuelekea Dodoma, kufika chalinze anaanza kunilalia ,nikamwacha kabisa anilalie huku nimemshika kiuno.

Tunakaribia Dodoma nikamwambia vipi kwanini tusichukue chumba upunzike kabisa kwa uchovu wa safari.
 
Halafu we jamaa una makusudi....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haufai kuwa mtunzi wa hadithi
Yaani hapo ni kama vile unataka kupiga chafya halafu ghafla chafya inayeyuka unabaki umeachia mdomo wazi kuisikiliza kama itakuja
 
Halafu we jamaa una makusudi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haufai kuwa mtunzi wa hadithi
Yaani hapo ni kama vile unataka kupiga chafya halafu ghafla chafya inayeyuka unabaki umeachia mdomo wazi kuisikiliza kama itakuja
Huo mzigo niliufaidi kirahisi baada ya uchovu wa safari[emoji1787]
 
Duuu ume maliza
 
Kuna coaster namba T 548 DRB inafanya safari zake kati ya karatu kwenda arusha davoo wa hizo gari ni mshamba sana, kwenye playlist ana nyimbo zake anazopenda akisikia wimbo/video asiyopenda atahamisha mpaka apate video/wimbo anaoupenda na hali hii ni njia nzima mpaka unafika arusha au karatu.

Kibaya zaidi, akipata wimbo anaoupenda anaongeza sauti akidhani kila mtu sawa na yeye, hali hiyo inaudhi sana ukizingatia wanafunga yale maspika makubwa nyuma so yeye amekaa mbele anataka asikie mdundo wa subwoofer akiwa pale kwenye staring, Ushamba mwimgine ni mzigo kwelikweli, shubamit,,!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haya bas kunywa kijoti kwa mangi nakuja kulipa [emoji3][emoji3][emoji3]

🀣🀣🀣🀣🀣🀣 vya sukari sukari siyo kivileee ila kwa kuwa umesema mtoto Kajojo... Mangi fanya hivyo..... bwana weeee hela ya nn.... si umeambiwa unaletewa....weeee mangi acha bange basi Kajojo anakuja kukupatia....Asante Kajojo nimepata.... waiter nimerudi hizo bia [emoji481][emoji481][emoji481]zangu nitaendelea nazo ngoja kwanza nikipige kijoti zawadi kwa mtoto Kajojo...Sema Kajojo....naaam [emoji483]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…