tabia za ki-Luis Suarez.

roja24

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
634
406
Waafrika wote na hasa wale wapenda michezo tupige vita tabia za ubaguzi wa rangi
 
Kuna jamaa shabiki wa liverpool anashangilia suarez alivyofanya kwa Evra.Halafu ni mtanzania na ni mweusi kuliko Why always me (BALOTEL).
 
Huyu jamaa ikiwezekana kabis fa wamfukuze

Wamfukuze kwa kosa gani alilofanya? Kwani Evra sio black ni mzungu?? Kwa hy Terry nae akikutwa na kosa afukuzwe England?
Mwenzako anakipaji hata wamfukuze kesho hawezi kukosa timu ya kuchezea.
Af huyu Evra ndie aliyeikana Senegal na aka promise hawezi kurudi tena..
 
Tukiacha kasoro za evra huyu suarez ni hafai kabisa mpaka club yako wamekuja kujua kosa walilofanya kumunga mkono kwa kuomba msamaha wewe unaye mtetea unazo kweli timamu
 
Ni mchezo tu!

Luis Suarez ni mzalendo wa Nchi yake!
Ile ya kwake na Evra ni soka tu.


Hili peleka jukwaa lengwa la Sport!
 
Back
Top Bottom