Tabia za akina dada zinazonikera!!

Tabia za akina dada zinazonikera!!

Ukiona mwanamke anang'ang'ania kuhongwa eti ni haki yake huyo hana tofauti na wale wa kona bar sema yeye kijiwe chake cha uchangu ni tofauti labda ofisini kwake au Savannah au quality plaza maana mwanamke mwenye staha hawezi kumpenda mtu sababu ya pesa pesa huja baadae sana hata kama anaiona ila sio inayomvuta. Tatizo wengi wao full kupenda vinavyoelea wakati vilipochumwa hujui mwishowe unaliwa 0712 unaanza kushuzi hovyo wapenda vya dezo eti ukinihonga Harrier nitakupa. Kwani shida
Makubwa!
 
Ila kweli sisi wanawake bwana.
*Dame akishakuwa aone attention anayopewa, akishaambiwa ni mzuri tu bhaass. Dharau zinaanza hata kwa wanawake wenzie.
* fake accents make me sick, halafu when you pay attention, the grammar is poor.
*desperation- running back to a man who hurts you over and over again in the name of love. ****.
 
Ni kweli kabisa. Kila corner hapo Dar utakutana na fake accents/poor grammar.
 
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia

hapo kwenye red....yaani ni kinyaa kwa baadhi ya dada zetu
 
Kupeleka invoice siku ya kwanza wala sio Hashuo ni kutaka kujua we are on the same page plus we are talking the same language!!!!!!! Mmabo jitu umekaa nalo miezi sita ndo unstuka bahili siyapendagi kabisaaa! Miezi yote hiyo unajiona umepata Bonge la Bwana kumbe una mfano wa bwana tu! First things first, always!

Hapo Lara umesema Ukweli jitu linajileta na gari la kuazima.viatu vya mjomba mashauzi kibao.linanuka kikwapa hata deodorant halina.Hela limekopa kwa mshikaji wake za vinywaji.
Mie uwa naanza kutangaza njaa kwanza hela ya mafuta ya gari pesa ya kupeleka gari servive hela ya shopping hapo najisemesha kusikilizia kwanza.
Akiwa wa Ukweli utaona anakutimizia hapo jua ana nia ila hawa wapenda ngono atakimbia arudi tena.Hapo na mie nakuwa nime save kuchakachuliwa lol.
Na nyie wanamme mkome kabisa na tabia zenu za kunuka midomo miguuu na mikojo mkivua vichupi vyenu au kwa sababu tumewakalia kimya.
 
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia
Too bad, Wengi wetu hatufanyi hayo kwaajili ya kuwapls nyinyi.
 
tatizo unafanya biashara ya nipe nikupe, hata mtu akitaka kukupa zaidi ya unachotaka unamchafua.

Kuna demu mmoja hivyo hivyo, jamaa ana fwedha nzuri, alikuwa ana nia ya kufanya makubwa na demu, siku ya kwanza kukutana na demu demu kamtajia bei ya upapa.

Jamaa akaona mambo yenyewe kumbe biashara, akasepa.

Ndo habari unazoleta wewe hizo.

Tatizo class haifundishwi. Demu wa hashuo hata kumpiga intro summer vaca viwanja vya hyannis port na martha's vineyard inaweza kuwa kazi, macho juu ati.
true!!
 
Naongeza .... Kunipigia simu na kumbonda msela wangu, halafu kuniulizia namba ya sharo.
Kutovaa shanga .... why? Huh?
 
Hapo Lara umesema Ukweli jitu linajileta na gari la kuazima.viatu vya mjomba mashauzi kibao.linanuka kikwapa hata deodorant halina.Hela limekopa kwa mshikaji wake za vinywaji.
Mie uwa naanza kutangaza njaa kwanza hela ya mafuta ya gari pesa ya kupeleka gari servive hela ya shopping hapo najisemesha kusikilizia kwanza.
Akiwa wa Ukweli utaona anakutimizia hapo jua ana nia ila hawa wapenda ngono atakimbia arudi tena.Hapo na mie nakuwa nime save kuchakachuliwa lol.
Na nyie wanamme mkome kabisa na tabia zenu za kunuka midomo miguuu na mikojo mkivua vichupi vyenu au kwa sababu tumewakalia kimya.

He heeeeeiyaaaa,tenaaaaaa.....hapo chacha
 
Hahahahahaaaaaaaaaa! hapo kwenye kunuka midomo, Miguu na mikoja, umewachomaaaaaaaa kama msumari, maana umeingia kote, kote, ila shauri lako watakushambulia akina kaka Mtambuzi na The Boss mm simo.
 
Hapo Lara umesema Ukweli jitu linajileta na gari la kuazima.viatu vya mjomba mashauzi kibao.linanuka kikwapa hata deodorant halina.Hela limekopa kwa mshikaji wake za vinywaji.
Mie uwa naanza kutangaza njaa kwanza hela ya mafuta ya gari pesa ya kupeleka gari servive hela ya shopping hapo najisemesha kusikilizia kwanza.
Akiwa wa Ukweli utaona anakutimizia hapo jua ana nia ila hawa wapenda ngono atakimbia arudi tena.Hapo na mie nakuwa nime save kuchakachuliwa lol.
Na nyie wanamme mkome kabisa na tabia zenu za kunuka midomo miguuu na mikojo mkivua vichupi vyenu au kwa sababu tumewakalia kimya.

safiiii!100%
 
wengine hawavai nguo za ndani aka cH.upi

Dar joto kali sana, kwa hiyo hata mm sivai, Mr wangu kasemaaa mpk sasa kazoea, ailijitahidi hadi kununua za cotton , mikamwambia hapana nachubuka.
 
Back
Top Bottom