Tabia za akina dada zinazonikera!!

Tabia za akina dada zinazonikera!!

Duh, kweli wazazi wetu ndiyo walifaidi mapenzi ya kweli...!!!! Ila uzuri ni kwamba afterall sote tunaishia Kaburini..! Mia then
 
Hivi ndugu yangu unachukia yoooote hayo kwa dada/mama zetu , nimebaki najiuliza kuna lipi sasa toka kwao linalokupendeza?
 
Nini hiyo maana yake?

By the way, wachuchu ambao wanapenda kunywa kahawa wana meno ya njano. That's nasty. Halafu kuna wale wanapenda penda kula viepe, kiti moto, michemsho, na kadhalika halafu hawajui kujiswafi kinywa.

Hawajui ku-floss na hawajahi hata siku moja kutumia dental floss. Hawajui hata tongue scrapper ni nini. Hata routine teeth cleaning hawajawahi kuisikia.

That's just nasty. Super oral hygiene is sexy.
hapo mkuu umeua ,wengi sana watangukia hapo.wenyewe wameshazoea kuswaki na viwhitwdent au collgate zao fake au product fake za alovera asubuhi tu labda na wachache usiku basi......hili ni janga
 
Mheshimiwa VUVUZELA muongozo tafadhali

Hii public katika kifungu cha 4 inaishia wapi?

4. Kula kucha in the public.
 
Last edited by a moderator:
Unakuta mdada anakula mahindi ya kushoma nikimuomba pumba za kuku wangu ananifyonza hapo hapo ukimkaribisha ugali anasema alagi vyakula vigumu,,,kuhusu ma wigi kuna sisita du flani nilimtembelea ebanaeeee anakipilipli cha hatari kumbe yale ni makofia sikuja kwetu dada zangu wamebarikiwa unywele aisee sikujua kuna human hair madukani
 
Ndugu yangu mengine hata sie wanawake wenyewe hatuyapendi kama Lipstic na wigi ila ndo fassion sasa tufanyaje ili tusionekane washamba! Twajipaka tu!

Wazungu wanahonga sanaaa, we kubali kataa, wazungu bonge ya dili ukimfuma wa maana!

Wanafunzi lazima niwadharau manake wanajionaaa kama hizo akili zao zinaliwa! Kufaulu kidogo tu Jitu lishajiona kama Isac Newton au Faraday au hata Lord Keynes na Irving Fisher!!! Msheeeeeeeew! Mi napenda kuwaremind the awfal truth they are just piece of shit in real world! Hawana lolote! Kazi kusaga lami tu!

Kama nachokula ni Classic na wewe ni mshamba lazima nikutoe ushamba kwa kukuforce kula classic cuisines! Bila bakora mnaenda nyie vidume wa siku hizi! Thubutuuu yenu! Watu tuko sehemu za maana unaagiza Chips Kuku!!!!! Kula kuku na umma kwenyewe hujui! Ndo inabidi kuepusha aibu nikuagizie fillet manake zinalika kwa uma kirahisi!

Kuna unene na Curves! Unene wa ovyo ovyo kama kiroba pia mimi siuungi mkono, ila curves ndo mpango mzima!

1st time lazima nilete pozi na makuz coz watu wengine shobo zimewajaa, ukijifanya kind na charming unaweza kufungiwa vioo au usijibiwe kabisaa ukaonekana unajipendekeza! Dawa ni kula cobis, mtu akikuanza kiungwana ndo narudisha uungwana! Mjini hapa Silaha Pesa, bastola zigo tu!

Mapaja yangu nikiacha wazi haikuhusuu, Coz najua lazima uyacheki yalivyonona ndo maana nakuorishia! Bila kuoneshwa sample ya zigo mnaingiaga line kiurahisi! Thubutu yenu! Dawa ndo hiyo kuwapa trailer kidogo!

Kulewa kama pesa huna ofa ulinipa ya nini? Siku nyingine chukua wanafunzi wanaokunywa juice! Wengine pombe stimulator tu wala sio kilevi!

Sema foundation cheap stuff ndo zinaboa, Ila kitu ya Marry Kay let me not mention the price ukipaka lazima uonekane wa kino, na hujaja mujini na basi!

Naomba utunge wimbo mie nakuja na midundo utoke na single moko .................!:becky:
 
na kwa taarifa yako hilo namba nne linahusika sana , hatuwezi kua kwenye mahusiano kibubububu bila malengo, ukitaka usiulizwe ndoa kadate na under 18

Umeona eeeh, siku hz tumestuka hatutaki tena mambo ya kupotezeana muda kwa mahusiano yasiyo na mwelekeo!!!!!!!
 
Niwie radhi mkuu lakini kwa hapa inaonyesha unaowadate ni wa daraja la namna filani..............:shut-mouth:!
panda kidogo utafute wanaojua mambo ili uepuke hivyo vi smart collection!
hahahahahaaaaaaaa



Si ndiyo hapo? First date hata hela ya Bajaj jana. Kanakuja kinanukia perfume ya smart collection baada ya nusu saa imekwisha kwapa linaanza kuchacha. Tripu ya toileti kila saa maana kiperfume kinakatika.

Maongezi yake ni mara kuna show kali ya diamond mara ooh mie hupapenda Savannah, to hell unamegwa tena kwenye gari then unatoswa. Bloodymengelesi mkubwa na kikwapa chako.
 
Imenilazimu kuweka desktop mode ili nkugongee like....PWENTI
 
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia

namba 19.uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni mbaya sana ,inakera.hakuana kitu kinachovutia kwa mwanamke kama kuwa natural.LAKINI ukishapaka karooooooooooooo uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Niwie radhi mkuu lakini kwa hapa inaonyesha unaowadate ni wa daraja la namna filani..............:shut-mouth:!
panda kidogo utafute wanaojua mambo ili uepuke hivyo vi smart collection!
hahahahahaaaaaaaa

Hata nikishuka haisaidii. Wenzenu wanapiga invoice tactically sio kibwegebwege na carolite zenu macho unayajaza nyusi za kope kama kisebengo, miguu ina vigimbi kama mruka vihunzi. Invoice sio ishu Tatizo unalikuta demu bayaaaa ila linajifanya eti classic, kwenda zako na uclassic wako. Unapauliwa then unatoswa.
 
Kope za bandia is fcukin nasty,acheni wadada hasahasa wa mbagala,tmk etc
 
Back
Top Bottom