Tabia za akina dada zinazonikera!!

Tabia za akina dada zinazonikera!!

1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia

haya chacha wanawake mpooooooooooo...!
 
Ukiona mwanamke anang'ang'ania kuhongwa eti ni haki yake huyo hana tofauti na wale wa kona bar sema yeye kijiwe chake cha uchangu ni tofauti labda ofisini kwake au Savannah au quality plaza maana mwanamke mwenye staha hawezi kumpenda mtu sababu ya pesa pesa huja baadae sana hata kama anaiona ila sio inayomvuta. Tatizo wengi wao full kupenda vinavyoelea wakati vilipochumwa hujui mwishowe unaliwa 0712 unaanza kushuzi hovyo wapenda vya dezo eti ukinihonga Harrier nitakupa. Kwani shida
 
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia
Mtazamo wangu naona kama hoja binafsi sana na nyingi ni vitabia ambavyo hata kwa mwanao usingevipenda. Ila wanaume wengime hizi No. wanazipenda sana 4, 6,7,9,10,12,13,16,.........
 
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia
namba 11 inanihusu na inanikera we acha tu.
 
Code:
7. [COLOR=#ff0000]Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti[/COLOR]
8. [COLOR=#ff0000]Harufu ya mdomo[/COLOR]

Du Mie sijawahi kutana na wa design hizo,ila kwa hapo umewaonea bwana ila hizo nyingine zote 100% ,lkn hapo nope mademu ndio wasafi sana labda naokutana nao mimi,au unakutana na ma-house girls aka Mercury(Hg)

Haha hahaaaa hapa umesema kweli lol hizi ni tabia za kiume zaidi.. Ziongezwe kwa Karucee kama alizisahau lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
duuh.............wewe ndio walewale.............!!!

Hata nikishuka haisaidii. Wenzenu wanapiga invoice tactically sio kibwegebwege na carolite zenu macho unayajaza nyusi za kope kama kisebengo, miguu ina vigimbi kama mruka vihunzi. Invoice sio ishu Tatizo unalikuta demu bayaaaa ila linajifanya eti classic, kwenda zako na uclassic wako. Unapauliwa then unatoswa.
 
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia
21. umesahau mixa kujifanya wakishua mara sijui nipo serena, nipo sijui nyumbani lounge, double tree wkt hata chapaa hana mixa...jobless en businessless yan kha
 
»Facebook kuweka picha za miaka mi4 wakati akiwa mbich,sexy,8 shape,kumbe kwa sasa ashakuwa tufe.(Samahani lkn mambo ya binaadamu)
 
nawaheshimu sana wanawake,na kuwadhami,pamoja na mapungufu yao yote ya mpito badomwanamke namweshimu sana,kwa kazikubwa wanayofanya ya kulea mimba na kutuzaa kwa uchungu usioelezeka,hadi kutulea nakuwa wenye kiburi na mjigambo yenye kashfa,kebehi na matusi. Poleni mamazangu!
 
Heri yako wewe pamoja na matusi wanayotupatia huyaoni.
 
21. umesahau mixa kujifanya wakishua mara sijui nipo serena, nipo sijui nyumbani lounge, double tree wkt hata chapaa hana mixa...jobless en businessless yan kha
Usiombe akutane na wewe maeneo hayo utakoma kumfahamu lazima akupige sindano na unakuta anakunywa sijui cocktail inaitwa 'Colorado moth...f...c.k..r'. Mara sijui kaagiza popcorn utakoma.
 
kuvaa mabangil mengiiiiiiiiiiiiiii, anavotembea yanapiga kelele utafikir kuna msafara wa n'gombe
Hahahaha mkuu umeua balaa. Hapa ofisini kuna demu ni mshkaji ndio zake mabangili nimemuonyesha comment yako ofisi nzima kicheko.
 
Haha hahaaaa hapa umesema kweli lol hizi ni tabia za kiume zaidi.. Ziongezwe kwa Karucee kama alizisahau lol.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

hahahaaaaaaaaaa. Neggirl!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom