tracy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2010
- 784
- 268
Kuna vitu baadhi ya wanaume huwa mnanishangaza sana kwakweli,
Hivi,if mwanzo wa hiyo relationship akili yako ilikua ni ya kupata sex tu,then why do you call her materialistic akitaka pesa?
Why is that unataka kupokea tu while hutoi?
kwangu mimi all the above ni kero kama you are not in a serious relationship,if you are then you can change these things..
I had a frnd who had tatizo na kinywa,she was my roomate chuoni/friend,.if mimi kama mtu baki ilikua inaniumiza i could imagine bf wake ilikuaje,it took me some guts kumwambia and even help her na kwenda hospital,kumbe alikua mgonjwa
sio kuwa ni low class,no way,she just didnt know what she had that irritated people..so kuna vitu kama binadamu unaeza judge watu sana and not knowing that its not there fault.changes begin with you.
i agree that kuna baadhi ya vitu kwenye list that watu wanafanya intentionally but not all.