Ndugu yangu mengine hata sie wanawake wenyewe hatuyapendi kama Lipstic na wigi ila ndo fassion sasa tufanyaje ili tusionekane washamba! Twajipaka tu!
Wazungu wanahonga sanaaa, we kubali kataa, wazungu bonge ya dili ukimfuma wa maana!
Wanafunzi lazima niwadharau manake wanajionaaa kama hizo akili zao zinaliwa! Kufaulu kidogo tu Jitu lishajiona kama Isac Newton au Faraday au hata Lord Keynes na Irving Fisher!!! Msheeeeeeeew! Mi napenda kuwaremind the awfal truth they are just piece of shit in real world! Hawana lolote! Kazi kusaga lami tu!
Kama nachokula ni Classic na wewe ni mshamba lazima nikutoe ushamba kwa kukuforce kula classic cuisines! Bila bakora mnaenda nyie vidume wa siku hizi! Thubutuuu yenu! Watu tuko sehemu za maana unaagiza Chips Kuku!!!!! Kula kuku na umma kwenyewe hujui! Ndo inabidi kuepusha aibu nikuagizie fillet manake zinalika kwa uma kirahisi!
Kuna unene na Curves! Unene wa ovyo ovyo kama kiroba pia mimi siuungi mkono, ila curves ndo mpango mzima!
1st time lazima nilete pozi na makuz coz watu wengine shobo zimewajaa, ukijifanya kind na charming unaweza kufungiwa vioo au usijibiwe kabisaa ukaonekana unajipendekeza! Dawa ni kula cobis, mtu akikuanza kiungwana ndo narudisha uungwana! Mjini hapa Silaha Pesa, bastola zigo tu!
Mapaja yangu nikiacha wazi haikuhusuu, Coz najua lazima uyacheki yalivyonona ndo maana nakuorishia! Bila kuoneshwa sample ya zigo mnaingiaga line kiurahisi! Thubutu yenu! Dawa ndo hiyo kuwapa trailer kidogo!
Kulewa kama pesa huna ofa ulinipa ya nini? Siku nyingine chukua wanafunzi wanaokunywa juice! Wengine pombe stimulator tu wala sio kilevi!
Sema foundation cheap stuff ndo zinaboa, Ila kitu ya Marry Kay let me not mention the price ukipaka lazima uonekane wa kino, na hujaja mujini na basi!
- Kuna wamatumbi wanaohonga kuliko hao wazungu wenu.
- Wawadharau hao madent lakini shule ikiisha na mambo yao yakinyooka mnaanza kujibamiza.
- Kama wala fillet ama sushi haimaanishi kila mtu anapenda. Sio kwamba sipendi sushi or fillet sababu naogopa kula na uma. My etiquete manners are ok, na hata ukinialika dinner kula dinner White house na Joe biden sina wasiwasi.
- Fat/Curvy women sina mpango nao. Mambo yote vimbaumbau/petite.
- Kuachia ufa wazi ni dalili ya kuwa b.itch
- Mary Kay ndio one of hizo cheap foundations mnazojikandika. Nilitegemea unge-upgrade to Estee Lauder ama Clinique etc na sio Mary Kay
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. Unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. Mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa us na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia
Boss...!! Pole sana naomba nikupokee..! Kwa machache tu..
20. Kujiekti kama kina kim kardashian.. Kumbe njaa kali.. Alafu anajiongeza mbele za watu na swaga za mavi ya kuku.. Kumbe unachoreka..©
21. Kuongea kupita maelezo.. Mara hiki nakijua, kule nishaenda, ahh yule hana ishu, kumbe mavi ya kuku..
22. Kuoneana wivu wenyewe kwa wenyewe... Yani ukikutana na dem mwenzako kakufunika baas.. Utamkata jicho sana, kumsunya, mafumbo... Ya nn..???
23. Shopping zisizoisha.. Ndio tunajua wanawake mavazi but siyo daily kwa wiki shopping mara 6.. Mara mwenge, tandika, ubungo, manzese, kariakoo, n.k.
24. Umbea...
Am out...©
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash", popo, gypsies n.k. (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
20. Kubadilisha accent wakati unaongea kimatumbi/kiswazi as if umezaliwa US na kukulia huko na kujifunza kimatumbi ukubwani
...............mengineyo mtanisaidia
kuna vitu baadhi ya wanaume huwa mnanishangaza sana kwakweli,
hivi,if mwanzo wa hiyo relationship akili yako ilikua ni ya kupata sex tu,then why do you call her materialistic akitaka pesa?
Why is that unataka kupokea tu while hutoi?
Kwangu mimi all the above ni kero kama you are not in a serious relationship,if you are then you can change these things..
I had a frnd who had tatizo na kinywa,she was my roomate chuoni/friend,.if mimi kama mtu baki ilikua inaniumiza i could imagine bf wake ilikuaje,it took me some guts kumwambia and even help her na kwenda hospital,kumbe alikua mgonjwa
sio kuwa ni low class,no way,she just didnt know what she had that irritated people..so kuna vitu kama binadamu unaeza judge watu sana and not knowing that its not there fault.changes begin with you.
I agree that kuna baadhi ya vitu kwenye list that watu wanafanya intentionally but not all.
Halafu wengine mimaziwa imelala full kuipiga Tanganyika jeki. Mkorogo umedunda vidole kama mchimba kaburi.
Halafu first date then anaanza kuleta invoices bila aibu, si hata usubiri uliwe kidogo.
Tracy nimekusoma!,
U actually mean that a fake relationship will exist if a woman's tendency to be screwed is directly proportional to the man's wallet existance
Au siyo??
kimsingi we una akili sana, wewe ni Jembe .hii yenye rangi nyekundu nimeikubali zaidi. sidhani kama wanawake wote wangejitambua kama wewe wangem-turn off mwanaume yeyote, tatizo mko wachache. kimsingi sivutiwi na wanawake wanaoshoboka nakujishusha thamani zao hata kwa houseboy ndani ya nyumba. mwanamke lazima awe najeuri kidogo.Ndugu yangu mengine hata sie wanawake wenyewe hatuyapendi kama Lipstic na wigi ila ndo fassion sasa tufanyaje ili tusionekane washamba! Twajipaka tu!