Tabia za ajabu kwa wanaume

Sema hapa pa singo madhaz hapa............ mambo ya kuanza tu mechi na aggregate hapana aisee, mtusamehe kwa hili
 

Labda Kama ikathibitika kuwa huyo mwanaume alimbaka huyo mwanamke!
Lakini Kama walikubaliana Kwa ridhaa ya pande mbili itakuwa si Sawa !
Mwanamke ndiye anaetakiwa kujijua na kuelewa mzunguuko wake ili ikibidi achukue tahadhari Kwa zile Siku za uzazi!
Ila Kama ni ndani ya ndoa hapo nitakubaliana na wewe!
 
Kwa nini iwendani ya ndoa tu chief? wakati uroda mlifaidi wote
 
Inasemekana ma single mother Siku hizi wamepata Tumaini jipya kupitia Kwa upatikanaji wa Viben10 !
Sijui ni ishara ya kukata tamaa au ni maroho tu[emoji87][emoji87]
Mwanaume umri wa mdogo wako au mwanao ukamfanye kuwa bwana/Mume jamani?! [emoji3]
Wengine wamepishana sana umri hadi inatia kichefu chefu!
 
Vipi kuhusu vijana wa kiume na mashugamami hiyo ni sawa sio?
 
Kwa nini iwendani ya ndoa tu chief? wakati uroda mlifaidi wote

Inasemekana wengine wanajiachia makusudi ili wakizaa wawafanye watoto kuwa kitega uchumi!
Yani usiombe kukutwa na bwana Pepsi wengine ni Pasua kichwa, anadai matunzo kuliko ya dau kubwa kuliko Mke halali Kama ungemuoa!
Anyway ndivyo maoni ya baadhi ya watu yalivyo !
 
Ni kweli lakin chief kama hujaplan kuwa na mtoto vaa mpira tu. Mim hadi leo nimewakwepa wengi waliokuwa wanataka kuniingiza matatizoni
 
hatari sana. midomo mingine ya hovyo sana, msichana akisema siko tayari kuwa na wewe au nina mtu au sijawa tayari kuolewa kuna kosa? sidhani kila msichana hana uhuru wa kusema anayo yataka yeye na asikilizwe na aeleweke hivyo ni kosa kumwambia maneno kama hayo, hata dada yake na mwanaume anayemsema vibaya naye atajibiwa hivyo siku moja sijui atajisikiaje au ataenda kupigana.
 
Ila yote 9 kumi haijalishi Hata Kama mwanamke amezaa bado anaweza kuwa Mke mwema tu,
Tena Hata angekuwa barmed anaweza akatulia kabisa!
Unajua mwanamke mwingine anaweza kuwa amejifunza kutokana na makosa yaliyopita!
Wengine wakiumwa na nyoka wakiona ujani huchukua tahadhari !
Kwa wale ambao wako willingly kuoa mwanamke aliyekwisha zalishwa na mwanaume mwingine aoe tu wala haina Neno !
Wastirini wenzenu!
Maana wote Kama mtakuwa na misimamo mikali ya kuoa fleshers itakuwaje?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…