Wewe unaona hii ishu ni ya kuleta humu?? Kama ameshindwa kuliona hilo kwa miaka miwili lazima atakuwa na matatizo kweli. Hivi unaishije kwa kuelekezwa cha kufanya na mwanamke kwa miaka miwili mfululizo??!!!!come on man! Nini maana ya jukwaa la mapenzi na urafiki?nini maana ya kuleta huu uzi?
Kwani hata ungekuwepo wakati wanatongozana ungeleta tofauti gani?
Stop being mean and negative dude! Life is too short to hate