asporo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 333
- 141
Mkuu Swts kungekuwa na uwezekano wa multiple like kama zile wanazoita multiple orgasm ningekupa zoote..Big up sanacome on man! Nini maana ya jukwaa la mapenzi na urafiki?nini maana ya kuleta huu uzi?
Kwani hata ungekuwepo wakati wanatongozana ungeleta tofauti gani?
Stop being mean and negative dude! Life is too short to hate
Mada kama hizi ndo ustawi wa jukwaa letu
Last edited by a moderator: