Tabia ya wasichana vyuoni kutembea na wazee

Tabia ya wasichana vyuoni kutembea na wazee

Wazee
. Wanajali
. Wanapenda
. Wanadekeza
. Wanahonga
. Sio wasumbufu kukulinda linda
. Waelewa ukimwambia darlin sipo good leo anasema pole mama, kijana ataanza unazingua acha uduwanzi lelelee makelele pyeee
. Wanakojoza asikwambie mtu

Nawapenda sana wazee, mzee Asprin nakusalimia
Mzee Baba V popote ulipo nakumiss mfano wake hakuna
 
Hivi ni hulka, ushamba, umasikini, ulimbukeni au tamaa ya fedha kwa dada zetu vyuoni kujihusisha kimapenzi na watu wazima kama wazazi wao? I ask so because have experienced, my x tried to lie kwamba i am the only one to her.

Ila kadri siku zilivyozidi kwenda nikagundua ana mahusiano na mzee mmoja mwenye familia sitomsahau katika historia ya maisha yangu.

#unadhani shida ni nini hasa mdau?
Pole mkuu. Ila subiri hao wazee wakizaa na hao wasichana walioko chuo sasa hivi utakuja na wewe kuwachukuwa watoto wao utakapokuwa mzee. Hapo ngoma inakuwa ndoo.
 
Wazee
. Wanajali
. Wanapenda
. Wanadekeza
. Wanahonga
. Sio wasumbufu kukulinda linda
. Waelewa ukimwambia darlin sipo good leo anasema pole mama, kijana ataanza unazingua acha uduwanzi lelelee makelele pyeee
. Wanakojoza asikwambie mtu

Nawapenda sana wazee, mzee Asprin nakusalimia
Mzee Baba V popote ulipo nakumiss mfano wake hakuna
vijana wenyewe hawayafanyi hayo? wew una umri gani maana ukute na wew unaelekea huko Mwalimu
umeongea vizuri sana maana hata kumkojoza mtu ni hisia zake tu.
 
vijana wenyewe hawayafanyi hayo? wew una umri gani maana ukute na wew unaelekea huko Mwalimu
umeongea vizuri sana maana hata kumkojoza mtu ni hisia zake tu.
Kati ya hayo vijana wanafanya lipi?
Siri ya wazee twaijua wenyewe nyie acheni bana
 
hujampata kijana wa kukudekeza mwalimu, wapo wengi tu nikiwemo na mim japo umri umesogea.
Kama umri umesogea unahitaji kusajiliwa kwa wazee teh mzee junior
Kijana hawezi kuwa na hizo sifa zote either anapenda tu, anajali tu..
Ila mzee hizo sifa ni full package anazo zote na nyingine kadhalika 😀
 
Wanafuata mteremko huko,,,, unakuta mzee anahudumia vizuri afu anapiga kamoja tu analala sasa nyie vijana pesa zenyewe hamtoi afu unataka ukeshe juu ya kifua cha mwenzio!!!
 
Wanafuata mteremko huko,,,, unakuta mzee anahudumia vizuri afu anapiga kamoja tu analala sasa nyie vijana pesa zenyewe hamtoi afu unataka ukeshe juu ya kifua cha mwenzio!!!
Kijana gani wa zama hizi anakesha kifuani Thubutuuuuuuu dakika 20 akizimaliza tu anastahili kupigiwa makofi
 
Ni huyo huyo we mwache utafute mwingine au nenda chuo kingine ambako hutajua. Si unajua hata waowaji wengi hawaoi wanapokaa wanawatuhumu wasichana kuwa ni malaya. Anakwenda anachukua kijijini ambako wakati mwingine anachukua walioshindikana.
 
Kijana gani wa zama hizi anakesha kifuani Thubutuuuuuuu dakika 20 akizimaliza tu anastahili kupigiwa makofi
Unajua tatizo hao uliokutana nao wana muonekano wa ujana lakini ukichunguza vizuri unakuta umri umeshaenda .... usiombe ukakutana na sebene la kijana wa aina yangu ...... huwa wanasemaga baby tupumzike kidogo..
 
Mzee ukikohoa tu ashafika" vip mama? Unashida gani"? kijana mpaka ulazwe tena haji hospitali ukimpigia kuwa umelazwa atakwambia acha deko pia atakwambia yupo bize kumbe yuko kwa neema. Akikuhurumia sana atakuja kukuona usharuhusiwa kutoka hospital na atakuja with northing except his d.....k. Wanaume oyeeee!!
 
Back
Top Bottom