Tabia ya wasichana vyuoni kutembea na wazee

Tabia ya wasichana vyuoni kutembea na wazee

Could be a lotta reasons. Some opt for the ol' timers cuz the brothas turned mitches, some do so cuz they're b!cthes.

All in all, live and let live, that's the name of the game. You could be trippin' over tricks that ain't fittin' to be hitting.
Nifundishe na Mimi vienglish vya hv
 
I can note nd sense a gold digger a mile away...dem akishakua kama anakuficha ficha mambo ujue hamna kitu hapo....ukimuona dem kila wakat unamuona anakutengezea mazingira flan hivi mkale bata always....all the time like kama anapenda penda mambo asio na uwezo nayo. Achana nae ni ma gold diggers balaa. Na wengi hujifanya walokole...

Mara nyingi nmekua niki watongoza alaf nawaacha hanging nam delete kama simjui...

Dem anayejielewa kwanza kabsa utanote ana nature ya kuridhika, ana juhudi binafsi na design hapendi kuomba omba. In most cases dem kama kwao hawaeleki or hawana atleast good financial backgrounds hajishughulishi na chochote yet anapendeza daily, yan hata sijisumbuagi kabisa.
 
Wazee
. Wanajali
. Wanapenda
. Wanadekeza
. Wanahonga
. Sio wasumbufu kukulinda linda
. Waelewa ukimwambia darlin sipo good leo anasema pole mama, kijana ataanza unazingua acha uduwanzi lelelee makelele pyeee
. Wanakojoza asikwambie mtu

Nawapenda sana wazee, mzee Asprin nakusalimia
Mzee Baba V popote ulipo nakumiss mfano wake hakuna
Nimekuelewa mama.....

Ila unatutafutia matatizo ujue... PM zitajaza inbox very soon
 
Could be a lotta reasons. Some opt for the ol' timers cuz the brothas turned mitches, some do so cuz they're b!cthes.

All in all, live and let live, that's the name of the game. You could be trippin' over tricks that ain't fittin' to be hitting.
Eeeeh braza kwahyo lugha cjaelewa kabisa. Kizungu sio kizungu msaada jamani.
Inabidi kuepo na Jf dictionary DAAAAAAAhhhhhh
 
Hivi ni hulka, ushamba, umasikini, ulimbukeni au tamaa ya fedha kwa dada zetu vyuoni kujihusisha kimapenzi na watu wazima kama wazazi wao? I ask so because have experienced, my x tried to lie kwamba i am the only one to her.
Acha vidole vyako vitembeee mkuu. Siku zikikatika au kushindwaa vitasimama. Wanaona wako climax.
Ukipanda mlima kilimanjaro sharti itafikia mda utashuka. Waache

Ila kadri siku zilivyozidi kwenda nikagundua ana mahusiano na mzee mmoja mwenye familia sitomsahau katika historia ya maisha yangu.

#unadhani shida ni nini hasa mdau?
 
Hivi ni hulka, ushamba, umasikini, ulimbukeni au tamaa ya fedha kwa dada zetu vyuoni kujihusisha kimapenzi na watu wazima kama wazazi wao? I ask so because have experienced, my x tried to lie kwamba i am the only one to her.

Ila kadri siku zilivyozidi kwenda nikagundua ana mahusiano na mzee mmoja mwenye familia sitomsahau katika historia ya maisha yangu.

#unadhani shida ni nini hasa mdau?
Pole kwa kuumizwa bana mapenzi mapana sana yanavitu vingi tofauti na unavyodhani wewe pengine mzee hugusi pande zote uzoefu nao mhimu sana jipange tu piga sana pushapu siyo unarushia tu.
 
hahahaaa...mkuu hata kupunguza ukali kidogo hakuna?
Si unaona mwenyewe haijatokea *********?

Ndio ujue imepitishwa.

Mwanangu hasikudanganye mtu hata uwe mtu wa totoz kiasi gani, siku ukitombewa Demu wako, roho inauma sana.

Tena wale Wanaume wasiokuwa na staha huwa wanafanya maamuzi ya ajabu sana.

Kutombewa haifai hata kidogo
 
Could be a lotta reasons. Some opt for the ol' timers cuz the brothas turned mitches, some do so cuz they're b!cthes.

All in all, live and let live, that's the name of the game. You could be trippin' over tricks that ain't fittin' to be hitting.

Mkuu unaweza ukaweka subtitles za kiswahili
 
Kuna wengine wapo na wazee coz hawatak stress za vijana.
M naona most of them wanafuata pesa afu wanahisi ukiwa na mzee kupata oportunity ya kimaisha ni rahis baada ya kuhitimu chuo
 
Bora mzee unajua ana familia yake .....kuliko kijana anasema uko peke yako kumbe baadae ukichunguza mnajikuta mko saccos
 
Pole mkuu. Ila subiri hao wazee wakizaa na hao wasichana walioko chuo sasa hivi utakuja na wewe kuwachukuwa watoto wao utakapokuwa mzee. Hapo ngoma inakuwa ndoo.
Wazee bao chap kama mshumaa
 
Back
Top Bottom