lujuozxon
Member
- Jan 12, 2014
- 9
- 4
- Thread starter
- #101
Sawa ila usisahau kuna kuolewa na kuwa na familia, pengine ufunge ndoa na uyouyo, then asipokuridhisha usitafute mchepuko. Maana hua hamridhikiWazee
. Wanajali
. Wanapenda
. Wanadekeza
. Wanahonga
. Sio wasumbufu kukulinda linda
. Waelewa ukimwambia darlin sipo good leo anasema pole mama, kijana ataanza unazingua acha uduwanzi lelelee makelele pyeee
. Wanakojoza asikwambie mtu
Nawapenda sana wazee, mzee Asprin nakusalimia
Mzee Baba V popote ulipo nakumiss mfano wake hakuna