Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,757
- 3,257
Ndio maana una like kipa post, bangi inskufanta uone kila post ni bonfe la point🤣🤣🤣Mnatumia nguvu nyingi sana kuichafua bangi ila ukwel wa bangi tunaujua.

Kila points ni bonge bwashee the home of great thinkersNdio maana una like kipa post, bangi inskufanta uone kila post ni bonfe la point🤣🤣🤣
Nyinyi ndio chanzo,kutwa kwenye ma Gym na supu za pweza....Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii.
Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.
Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Bangi imekuwa normalized karibu dunia nzima. Sehemu nyingi imekuwa decriminalized na hata kuwa legal.Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii.
Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.
Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Pesa hata ukiwanazo nyingi hakuna kitu kipya utakifanya hapa Duniani ambacho akijafanywa.Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii.
Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.
Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Wewe ni burudani sana😂Wakuu bangi ni kitu gani?
🤝Ujio wa Shisha umerahisisha uvutaji wa bange!
🤣Kwa nini Mungu muweza wa yote asiunganishe moja kwa moja watu wampende yeye tu na sio bangi?
Sema mjani wa Boby ukiuvuta lazima ulanduke..!! 😹😹Wanazungua kinouma
Kwa nini Mungu muweza wa yote asiunganishe moja kwa moja watu wampende yeye tu na sio bangi?
Wao wanasema unyama mwingi kmmke🔥Huu utamaduni wa watoto wa kike kuvuta bangi umetokea wapi?
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikikutana na wadada warembo wa vyuo, wengine watumishi katika ofisi za umma na binafsi wanavuta sana bangi. Zamani tulizoea vijana wa kiume ndio walikuwa watumiaji wa bangi lakini hawa nao walionekana watu wa ajabu kwenye jamii.
Sasa hivi hawa warembo tena wasomi na wenye maisha mazuri wanavuta, wanakula na wanakunywa bangi.
Ni kitu gani kinawasibu dada zetu?
Watagwan manBangi ni bora kuliko pombe, soda na sigara za SM, Embassy nk