Tabia ya Warembo kuvuta bangi imetokea wapi?

Nakumbuka tukiwa sekondari kidato cha pili tulikua tunajitenga tukavute kijiti, ila kuna binti akawa anatuganda tukamwambia atuache tukale mavitu yetu, akasema hata yeye ni mdau, kwahyo tukaenda nae.

Chimbo lilikua ni ghorofa ya shule ilikua aijamaliziwa.
Tukaanza kukizungusha kijiti, ilipofika zamu ya yule binti alipiga pafu za kutosha kama vile legendari.

Wakati mzunguko unaendelea yule binti akavua sweta, akaanza kupiga kelele(ukunga/yowe) huku anashuka ngazi kwa speed, anakimbilia ofisini anamuita mwalimu(anataja jina)..

Tulipata wenge tukamkimbiza hatukumshika, akazama ndani ofisini akamfata yule mwalimu akamkwida mbaya kabisa..

Uzuri ni kwamba yule mwalimu alikua ni mtu wa imani kwahyo akawa anamkememea mapepo.
Yule binti akawa anamwambia sio mapepo nimevuta bangi, mwalimu anakazana kumpiga faya, baadae yule binti akaanguka kama kazimia ikachukua kama masaa mawili akazinduka mzima.

Kwahyo maombi yakawa yametiki na tukawa tumepona.
 
Nakumbuka tukiwa sekondari kidato cha pili tulikua tunajitenga tukavute kijiti, ila kuna binti akawa anatuganda tukamwambia atuache tukale mavitu yetu, akasema hata yeye ni mdau, kwahyo tukaenda nae.
Chimbo lilikua ni ghorofa ya shule ilikua aijamaliziwa.
Tukaanza kukizungusha kijiti, ilipofika zamu ya yule binti alipiga pafu za kutosha kama vile legendari.
Wakati mzunguko unaendelea yule binti ajavua sweta, akaanza kupiga kelele(ukunga/yowe) huku anashuka ngazi kwa speed, anakimbilia ofisini anamuita mwalimu(anataja jina)..
Tulipata wenge tukamkimbiza hatukumshika, akazama ndani ofisini akamfata yule mwalimu akamkwida mbaya kabisa..
Uzuri ni kwamba yule mwalimu alikua ni mtu wa imani kwahyo akawa anamkememea mapepo.
Yule binti akawa anamwambia sio mapepo nimevuta bangi, mwalimu anakazana kumpiga faya, baadae yule binti akaanguka kama kazimia ikachukua kama masaa mawili akazinguka mzima.
Kwahyo maombi yakawa yametiki na tukawa tumepona.
Huyo sadali anapatikana wapi asee? hana skanka kweli hahaha
 
1751630708112.jpg
 
Back
Top Bottom