Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,451 Reaction score 11,321 Sep 6, 2025 #101 Mwachiluwi said: Wanafundishwa na mabwana zao nina ushahidi na hili Click to expand... Tupe huo ushahidi
Mwachiluwi said: Wanafundishwa na mabwana zao nina ushahidi na hili Click to expand... Tupe huo ushahidi
mwekwa ntandu JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,461 Reaction score 3,618 Sep 6, 2025 #102 Zamani kwenye familia vijana/teenagers ndio walikuwa wanavuta bangi,siku hizi mambo yamebadilika wazazi wa familia ndio wavuta bangi
Zamani kwenye familia vijana/teenagers ndio walikuwa wanavuta bangi,siku hizi mambo yamebadilika wazazi wa familia ndio wavuta bangi