smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,580
- 12,237
mtoto wa kiume unafurahia kupewa nyama ya bure ya waarabu. kuna tatizo hapo.narrow mindedness inakusumbua

Dah, kuna uhusiano mwembamba sana kati ya sadaka na kafara hasa hizi za kuchinjachinja. Aina hizo za sadaka biblia inasema watu wasile nyama za sadaka zilizotolewa kwa miungu yani ukila unakuwa mshirika wao automatically.Ni ujinga ulioje kuhusisha sadaka na kafara.
Kukubali au kukataa ni hiari ya mtu, kwani ukiwa na uwezo ni wajibu uwaachie nafasi wasiokuwa na uwezo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.
Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.
Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.
Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?
Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?
Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!
Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
We kapange foleni upewe nyama piaKama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.
Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.
Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.
Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?
Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?
Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!
Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Hayo ya wakristo kwa waislamu kwanza hakuna miungu hiyo inakuwa ni shirki. Kwa urahisi tu ni kwamba kama hutaki unawacha na hasa ukiwa na uwezo kifedha huruhusiwi kuchukuwa sadaka unatakiwa uwape fursa wasiokuwa na uwezo.Dah, kuna uhusiano mwembamba sana kati ya sadaka na kafara hasa hizi za kuchinjachinja. Aina hizo za sadaka biblia inasema watu wasile nyama za sadaka zilizotolewa kwa miungu yani ukila unakuwa mshirika wao automatically.
Sawait's a ritual among arabs, no free meal. nyuma ya pazia kuna mambo mengi yanafanyika kuhusiana na hizo nyama wanazogawa.
waswahili na njaa zenu huwa hata hamjiulizi,mnapokea tu na kwenda kula na familia zenu.
kuna tajiri mmoja maarafu sana hapa tz(muarabu), kugawa nyama kwa wafanyakazi wake ni moja ya kafara zake. baadhi huwa hawapokei.
Ufska gani mkuuu[emoji23][emoji23]Dj khalid anafanya ufuska ila kila mwaka anaenda kuhiji makkah na kulia kabisa .Jiulize kwanini?
Nyama za mapaka!!!?Nyama za mapaka!
Kaa mbali kabisa
Hivi huyo jamaa ndio nani?Dj khalid anafanya ufuska ila kila mwaka anaenda kuhiji makkah na kulia kabisa .Jiulize kwanini?
Leta ushuhuda na watu waliokuwa misukukeKAA NA MBALI NA HIZO NYAMA ZA WAARABU MKUU, WENGI WANAROGEZEA NA KUNUIA MAJINI NA MIZIMU YA KWAO
kwanza hawagawi kilo moja bali awa ni kilo 2na nusu za mchele na nyama sawa na kilo 5 kwa mtu 1 familia ya watu 6 sawa na kilo 30 kilo 15 za mchele kwa bei ya njaa ya mwaka huu sawa 60000 kilo 15 zanyama kwa bei ya mwaka huu swa 135000 watu wanapewa kila wiki huo nimsaada kwa watu wasio jiweza na njaa ya mwaka huu chakula kiko juuKama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.
Tuendelee...
Hii kitu kusema ukweli haiingii akilini mwangu kabisa, jamaa wanakuja kwa mwezi hata mara 3 au zaidi na wanachinja ng'ombe, mbuzi, kondoo, yaani jumla inaafika 70 na zaidi kila mtu anapata nyama kg 1 mchele kg1 yaani hata mkitoka familia yote kwenu kila kichwa cha mtu kitapata hivyo; pia huwa inategemeana na siku hiyo kama kuna watu kiasi gani.
Na ni misikiti yote huko kijijini nilikotoka, huwa wanahama tu leo huku kesho kule.
Swali, wanatoa wapi hizi hela hawa Waarabu, au wametuona sisi tuna shida na nyama na wali kuliko elimu au vitu vingine?
Na je, ni kweli hao watu wanaowapa nyama shida yao ni nyama tu?
Na mwisho wake lini? Maana ndugu ukishuhudia hiyo mifugo inayochinjwa, lazima utajiuliza maswali mengi!
Nawasilisha akina nani, msije na hasira.
Usihangaike nao haokwanza hawagawi kilo moja bali awa ni kilo 2na nusu za mchele na nyama sawa na kilo 5 kwa mtu 1 familia ya watu 6 sawa na kilo 30 kilo 15 za mchele kwa bei ya njaa ya mwaka huu sawa 60000 kilo 15 zanyama kwa bei ya mwaka huu swa 135000 watu wanapewa kila wiki huo nimsaada kwa watu wasio jiweza na njaa ya mwaka huu chakula kiko juu
alafu wewe unaongelea habari ya elimu elimu bila shibe alafu huyo katoa msaaada wa mchele na mbogo wewe jenga shule kibaya zaidi kutoa msaada utoi anae toa unamponda hii ndio roho mbaya ya chuki inayo weza kukufanya uugue ugonjwa wa moyo
Anawashwa, anakazo ya kufanyaWao wamekuletea nyama na wali sasa kwann hizo shida zingine kama elimu na nyinyi simjitahidi kuzitatua nyinyi wenyewe?
Kwamba nyinyi waafrika mmekuja duniani kukaa tu na kusubilia kutatuliwa shida zenu zote na waarabu au wazungu?
Alafu kingine hawajakushikia bunduki kwenda kuchukua hizo nyama sasa sijui ww kinacho kuuma ni nn hasa.
Lakini muda huo huo wanawatesa sana wadada wa kazi weusi, maarabu majitu ya ajabu kabisaNilipata bahati kwenda Muscat ikifika mwezi wa ramadhani watu ufungua mageti misosi inapangwa unafanywa kuvutwa shati upate ata maziwa tu .watu wanajaza misosi kwenye Rangerover kutafuta walaji .ukifika mwezi wa huo sijawahi pika geto
Bora muarabu anachuki za wazi .ila sisi waswahili unapigana vita na ndugu wa damu kwa uchawiLakini muda huo huo wanawatesa sana wadada wa kazi weusi, maarabu majitu ya ajabu kabisa
Yale ni makafara wanazidi kuwafanya wajinga na malofa.Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu kujitolea ni jambo zuri sana ila pia inatakiwa uangalie huko kujitolea kwako kuna faida gani na hiyo faida ni yakuendelea au ni ya muda mfupi, watu wanasema ni heri ukampa mtu mbegu ya tunda kuliko tunda.