Tabia ya rafiki yangu ni mtihani

Tabia ya rafiki yangu ni mtihani

Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.

Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.

Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.

Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.

Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
nilipanga nikuombe kitabu flani nmeghairi usije kunisema bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni rafiki mwema. Mbebee mapungufu yake kama anavyobeba yako.

Hizo ndio gharama za urafiki wa kweli
 
Binadamu kusaidiana maana hakuna mkamilifu, isitoshe mbona nae anakupa vyake buuuuure!!

Samsung
 
Dah, una moyo wa uvumilivu sana mkuu
Mimi ninakaa Gheto na Mshkaji.

- Anakunywa Pombe Balaa ( Mshahara wake haumalizi siku 5 ).

- Anavuta Bange Balaa, Tena Wakati Mwingine Uko Gheto Umelala - Yeye Anatoa Anawasha.
( Nilishamwambia Moshi Wa Bange Unaniumiza, Ila Hajali ).

- Akinywa Pombe Mpaka Anazima, Anatapika na Kukojoa Gheto. Usafi ni Mimi.

- Pesa Ya Chakula Hachangii Wala Kodi, Ni Bange Na Pombe tu Ndo Kazi.

- Akiishiwa Hata Nauli Na Hela Ya Sigara Anakusumbua Wewe.

Meanwhile, Mimi Sivuti Chochote wala Sinywi Pombe.

Naishi Nae Kwa Kuwa Na Mimi Mwenyewe Nimesaidiwa Sana Na Watu. Ingawa Ndo Hivyo Vingine Ni Kuvumiliana Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo yake ni on going yaani sijui mimi ni personal assistant au ni rafiki.
Bure inapatikana mahali pamoja tu. Labda, kaburini hatujui baada ya kumfukia. Ila kuchimba tunachimba sisi, kumshushia humo ni sisi na kumfukia tani saba udongo ni sisi tena bureee wala huwa hatumdai.
Umempata mshuwa wa namna hiyo tena anakutuza vitu vya maana hivyo halafu unamtusi humu jf! Ni kweli au naota?? Kwetu wana kamsemo; Umekaa karibu na mamako kati ya umati wa nduguzo 12 halafu mamako anakufichia ndizi moto mkononi ili wenzako wasikuone wote wakalilia, wewe kwa ujinga unapiga kelele; Mama unanichoma na ndiziiiii. Dah! Omba sana asijekuwa ni jf member
 
Mimi ninarafiki yangu, huwa ha save number muhimu, yaani naweza nikampa namba hata Mara 10, na akaomba tena...yaani akitaka namba ya fundi gari, fund umeme, fundi bomba, gyno, daktari wa watoto.....hata baadhi ya tuliosoma nao na tunaofanya nao kazi, huniomba Mimi!
Yaani kunasaha anasahau hadi ananiomba namba za wifi zake.
 
Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.

Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.

Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.

Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.

Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
Mmmmmmmhmn mbona anaonekana mtu poa tu. Na hivyo anavyokuomba umsaidie ndio madhaifu yake hayo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii chai naona uliiba Kvant yaN
Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.

Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.

Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.

Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.

Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
Hii chai imeindwa wakati umelewa, uliiba Kvant ya Nyani Ngabu
 
Urafiki wenu umeegemea upande mmoja, ye anakuona wewe wa muhimu zaidi kwake kuliko wewe unavyomchukulia

So inategemea mpaka sasa umeamuaje maisha yenu yajayo,.. Kama hutaki bora kukaa nae chini ili msije umizana baadae ikawagharimu

Ila kama unalenga kurekebisha, kaa nae chini mwelezee changamoto zako nae kwasabab anakuona wamuhimu sana kwake atatafuta namna ya kujiadjust atleast apunguze kero.

Urafiki unapimwa kwa ustahimilivu na kuinuana pale mmoja asipoweza, ikiwa we ni mtu wa kufurahia yale mazuri na basi jitahidi hata mabaya yake au madhaifu yake sio kuyavumilia tu bali kuyabeba pia. Huo ndo urafiki. Tofauti na hapo tafta mtu wa kuwekeza kwenye aina mpya za marafiki wanaotanguliza maslahi mbele
 
kama nakuona vile, nina dada yangu wa tumbo moja anasoma diploma ya ualimu, mm nmemaliza degree last year. Yaan assigments zote namfanyia kimbembe kilikuja kwenye kufanya research yaan mpaka mda wa kupiga madili kitaa nakosa nafanya research yake.
Sasa kukawa na marafiki zake wakaanza kunzoea baadae mmoja kanirushia assignment kma 3 hiv ili nimfanyie halafu nimtumie kwa watsup kma navyomfanyia dada yangu. Hapo ndo nikawapiga ban, wote mpaka sister. ila sister akanifuata tukazungumza yakaisha hivyo ikabaki nafanya assigment zake tu.
Yaani weekend unapumzika anapiga simu kuwa anashida, kwa jinsi ninavyomheshimu ninamsikiliza ukitoka hapo akili umeichosha hata haikuwa weekend tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom