Tabia ya rafiki yangu ni mtihani

Tabia ya rafiki yangu ni mtihani

Kwa Maelezo Yako Ni Rafk Wamanufaa Hvo Nawe Mfae Kwa Ushauri Daily Ili Aondokane Na Huo Uvivu Usio Maana

Siyo uvivu, huyo rafiki yake hajui kitu na huyo sky ni talented/gifted, lakini ni mchoyo, hataki kumsaidia rafiki yake, ukisoma alichoandika huyo sky utagundua hilo ninalosema, huyo rafiki yake anakiri kwamba sky ni intelligent na anaweza kumsaidia lakini sky hataki, huyo rafiki yake anataka ku exhibit the power of friendship lakini in her side sky hataki naye kuonyesha hiyo power juu ya rafiki yake.

Ila atakaposhikwa na shida ndipo atakapojua kwamba a friendship is more than what she refuses to offer to her friend.🤣🤣
 
Paragraph ya kwanza umetuonyesha jinsi unavyo furahia mambo anayokufanyia..
Para iliyofuata ubatuonyesha jinsi wewe usivyopenda kutaka kumfanyia msaada yeye.

Binaadamu mzigo wa miiba. Hard to carry it
Kweli kabisa na kuja hapa jukwaani cjaelewa anaomba ushauri au kitu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.

Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.

Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.

Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.

Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.

Pole sana. Kwa hilo la assignment kama hutojali niunganishe naye. Huwa nafanyia watu hizo mambo. Naweza msaidia. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.

Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.

Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.

Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.

Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
mnachukua masters ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hajiwezi kimasomo, Sasa anakupa vitu ili akutumie vzr, na umenasa sawa sawia
 
Mimi ninakaa Gheto na Mshkaji.

- Anakunywa Pombe Balaa ( Mshahara wake haumalizi siku 5 ).

- Anavuta Bange Balaa, Tena Wakati Mwingine Uko Gheto Umelala - Yeye Anatoa Anawasha.
( Nilishamwambia Moshi Wa Bange Unaniumiza, Ila Hajali ).

- Akinywa Pombe Mpaka Anazima, Anatapika na Kukojoa Gheto. Usafi ni Mimi.

- Pesa Ya Chakula Hachangii Wala Kodi, Ni Bange Na Pombe tu Ndo Kazi.

- Akiishiwa Hata Nauli Na Hela Ya Sigara Anakusumbua Wewe.

Meanwhile, Mimi Sivuti Chochote wala Sinywi Pombe.

Naishi Nae Kwa Kuwa Na Mimi Mwenyewe Nimesaidiwa Sana Na Watu. Ingawa Ndo Hivyo Vingine Ni Kuvumiliana Tu.
Hongera kwa moyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mademu wa kishua mboga saba wote nyie.
 
Nakushangaa unamuandika tena humu.. ila ni kama hizo zawadi ndio zinakufanya uwe karibu naye zaidi
sana.. acha kulalamika Mama Asprin.. zawadi hizo hakupi bure.. ha ha haaa ni kama anakusoma humu
 
Nina rafiki ki umri amenizidi miaka miwili lakini Hii ni age range moja. Huyu rafiki ananipenda mno siwezi kukata, ananichukua kama ndugu yake wa damu. Mfano tu kulikuwa na safari kanisani tulitakiwa kuchangia usafiri, malazi na chakula. Ilikuwa laki tano jumla, wakati ninajipanga niitoe, shost aliniambia amelipa ya kwake pamoja na ya kwangu. Nilimuambia nitamrudishia alikataa kabisa.

Alikwenda holiday akaniletea designer handbag, kwakweli gharama yake nisingewaza kununua kwa pesa yangu.

Tatizo linakonikera anapenda sana kufanyiwa mambo mengi. Mfano ukimwambia kuna kazi nimeona wanatangaza, atakuambia Uje basi nyumbani unisaidie kujaza fomu. Ukifika kwake anakupa computer hii, majina yangu ni haya. Kheri angesama nilijaribu nineshindwa ninaomba msaada.

Kibaya zaidi hata academic work, anaomba msaada, ataniita amepika chakula, kuna glass ya wine kumbe amekuitia assignment yake ya darasani.

Kama anashindwa assignment hii course si aiache. Kwakweli ninampenda lakini urafiki unanishinda.
hivi samehe saba mara sabini ukiifanya saidia rafikiyo saba mara sabini inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyokuelewa Hujawahi kumwomba msaada labda unajizuia kufanya hivyo. Hiyo laki tano alikulipia hujamwomba. Hiyo handbag hukuomba alikupa mwenyewe. Hayo matunda na mazagazaga hukumwomba alikuletea mwenyewe. Inavyoonekana wewe unajizuia usimpe shida zako ili asikupe za kwake lakini unamshangaa amekuwa haendani na taratibu hiyo.
Kwa mawazo yangu wewe ni Mtu mchoyo.
Mtu wa namna yako ha-share siri na rafiki yake ni Mtu mbinafsi want to keep 4 herself.
Huyo dada sidhani kwamba hajiwezi academical nafikiri anakushirikisha. Na mtu akikushirikisha ni kwamba anakujali na siyo kwamba hakupata mwingine wa kumshirikisha.
Mwisho upendo haujali au haufuati mambo yake mwenyewe. Huyo rafiki yako ningempata mimi ningefurahi mno. Anaonekana hana roho ya kimasikini ya kwanini +!
 
Hiyo ndo maana halisi ya urafiki..! Amekuchagua uwe rafiki yake kutokana na hayo unayomfanyia. Bahati nzuri una rafiki aliyestaarabika,anajua km anakuchosha ndo maana anafanya kila njia kutafuta kile kinachokupa furaha ili akulipe.

Lkn mkuu,rafiki yako wewe kweli haijui jamii forums!?? Na hajui km ww ni member humu hata km hajui I'd yako!?? Nnavyokufahamu ww na jinsi ulivyomstaarabu pia,huwezi kuweka hapa weakness za rafiki yako. Nahisi itakuwa chai au umeandika thread kuwakilisha mtu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi wa kiume au anatafuta wa kike tuu...( joking) merry Christmas to both
Mshauri atafute rafiki wa kiume sisi huwa hatuchoshwi na kusaidia kama atanipa heshima na nanii basi.

Tatizo sasa shule mimi nilifeli hizo academic work ndiyo kazi za kitaalamu au kitaaluma?

bbade anatafuta rafiki kama huyo.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Huo ndio urafiki. Huyo ni rafiki wa ukweli. Anatamani kila kitu chake ushiriki. Nazijua tabia watu wa aina hiyo. Yaani amejiachiia kwako ndio kama ulivyosema amekufanya ndugu. Usingekuwepo wewe hizo kazi angezifanya tu,lakini anakujua wewe ni mwepesi kuliko yeye katika kuyasove mambo,ndio maana anaona hakuna shida ya yeye kujitesa ingali upo rafiki mpendwa. Ana roho ya kitajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nilivyokuelewa Hujawahi kumwomba msaada labda unajizuia kufanya hivyo. Hiyo laki tano alikulipia hujamwomba. Hiyo handbag hukuomba alikupa mwenyewe. Hayo matunda na mazagazaga hukumwomba alikuletea mwenyewe. Inavyoonekana wewe unajizuia usimpe shida zako ili asikupe za kwake lakini unamshangaa amekuwa haendani na taratibu hiyo.
Kwa mawazo yangu wewe ni Mtu mchoyo.
Mtu wa namna yako ha-share siri na rafiki yake ni Mtu mbinafsi want to keep 4 herself.
Huyo dada sidhani kwamba hajiwezi academical nafikiri anakushirikisha. Na mtu akikushirikisha ni kwamba anakujali na siyo kwamba hakupata mwingine wa kumshirikisha.
Mwisho upendo haujali au haufuati mambo yake mwenyewe. Huyo rafiki yako ningempata mimi ningefurahi mno. Anaonekana hana roho ya kimasikini ya kwanini +!
Mara nyingine tunajizuia sana kuombaomba kwa marafiki kwa sababu hatuwezi Ku provide kama vile tunavyopewa kutokana na uchumi wetu unakuwa unajitosheleza wewe tu siyo ubinafsi!!ni ustaarabu tu
 
Back
Top Bottom