teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 317
- 214
Nyota yako inakaribia kufanana na waleeeeeeee walokuaga ambiance! Ila sio sana
Kama ni nyumbani tu sawa ila ukiwa nje jitahidi uwe unavaa utaja adhirika..
Kwani kazi ya chupi ni nini?
Chupi mzigo tu
Kwangu si tatizo,napenda sana mke wangu asivae chupi,umeolewa?Habari zenu wadau
Jamani mimi nina katabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi. Nitaoga nitavaa ila chupi sivai na kuna muda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period.
Nikimaliza period tu sihitaji tena chupi. Nimejitahidi niache tabia hii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
MAMBO YA KIDIGITAL HAYO MKUU.Siku hizi ni rahisi tu mdada kukuambia "unajua niko period". Mtu hata hamna mahusiano yoyote, unamwambiaje mambo ya siri!!!
Na MMU je?Private message
Nimefurahi mrembo kwa uwitikio wa salaam,UBARIKIWE mamii.Sijambo Mkuu
Nimefurahi mrembo kwa uwitikio wa salaam,UBARIKIWE mamii.
Kiongozi, wewe unaweza kuniambia kirahisi rahisi tu kuwa 'unajua leo nimeanza period'? Hata ikiwa digital bwana...au mimi ni old fashioned??MAMBO YA KIDIGITAL HAYO MKUU.
Kazi ya chupi ni nini?Na wewe unakitembezaga bila chupi??
Pale Mlimani City nilishakutana na wababa wanalipia mikate ya kina mama, mambo haya zamani ilikuwa siri kubwa ya mwanamke, hata mume wako pia haelewi ni lini umeingia au umetoka, ukimfahamisha tu hujisikii anaelewa wala haulizi ni kichwa kinauma au tumbo.Kiongozi, wewe unaweza kuniambia kirahisi rahisi tu kuwa 'unajua leo nimeanza period'? Hata ikiwa digital bwana...au mimi ni old fashioned??
Mwanzo sikuelewa...teh mikate ya kina mama. Mimi naona ni sawa kwa mke wangu, wengine tuna kumbukumbu. Nikiomba tam ukaniambia hali sio nzuri nahesabu mwezi mbele najua tar kama hizi next month tutachinja tena.Pale Mlimani City nilishakutana na wababa wanalipia mikate ya kina mama, mambo haya zamani ilikuwa siri kubwa ya mwanamke, hata mume wako pia haelewi ni lini umeingia au umetoka, ukimfahamisha tu hujisikii anaelewa wala haulizi ni kichwa kinauma au tumbo.