Tabia ya kutopenda kuvaa chupi

Tabia ya kutopenda kuvaa chupi

Chupi sio lazima wazamani mbona walikuwa hawavai tena nasikia walikuwa wanakojoa uku wamecmama ukivaa chupi lazma uchuchumae but usiiachie sanaaa
 
loveme Ni private message(PM) tuone tunafanyaje dawa ya hiyo ninayo
 
Habari zenu wadau
Jamani mimi nina katabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi. Nitaoga nitavaa ila chupi sivai na kuna muda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period.

Nikimaliza period tu sihitaji tena chupi. Nimejitahidi niache tabia hii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
Bora yako maana mficha uchi hazai
 
DA AMIZING TABIA

nei.jpg
 
Siku ukiugua ghafla au kupata ajali ukapelekwa hospitali na kuhitajika kutolewa nguo ndipo aibu yako itakapowekwa wazi.

Natanguliza pole siku yakikukuta.
 
Habari zenu wadau
Jamani mimi nina katabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi. Nitaoga nitavaa ila chupi sivai na kuna muda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period.

Nikimaliza period tu sihitaji tena chupi. Nimejitahidi niache tabia hii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
Karibu kuvaa at a tight... Utakuja aibika vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom