Tabia ya kutopenda kuvaa chupi

Tabia ya kutopenda kuvaa chupi

Habari zenu wadau
Jamani mimi nina katabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi. Nitaoga nitavaa ila chupi sivai na kuna muda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period.

Nikimaliza period tu sihitaji tena chupi. Nimejitahidi niache tabia hii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
mazoea huzua tabia.........unachotakiwa ni kubadilika maana umeisha kuwa mtu mzima , huko nyuma ukiwa mdogo hukuwa unavalishwa chupi, sa hiyo kitu umekuwa nayo. BADILIKA SIO KUULIZA JAMBO HILO HAPA.
 
Habari zenu wadau
Jamani mimi nina katabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi. Nitaoga nitavaa ila chupi sivai na kuna muda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period.

Nikimaliza period tu sihitaji tena chupi. Nimejitahidi niache tabia hii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
Wewe kama upo dar basi unapatikana kuleeee Temeke Sudani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom