Tabia ya kutopenda kuvaa chupi

Tabia ya kutopenda kuvaa chupi

Habari zenu wadau jamani mimi ninakatabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi ntaoga ntavaa ila chupi sivai na kuna mda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period nikimaliza period tu sihitaji tena chupi nimejitahidi niache tabia hiii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
Hizi je huvai pia?
1472010532860.jpg
 
Chupi skuizi haina maana....ilikuja panty ikatokomea ikakuja tena g string ikatokomea pia...sasa hivi tembea bila chupi wacha lipumue lisinuke
 
Siku hizi ni rahisi tu mdada kukuambia "unajua niko period". Mtu hata hamna mahusiano yoyote, unamwambiaje mambo ya siri!!!
 
hakika wadada wa cku iz aibu hawana. yan unakitembeza wazi wazi af unakuja kujitangaza.
 
Kama ni nyumbani tu sawa ila ukiwa nje jitahidi uwe unavaa utaja adhirika..
 
Habari zenu wadau jamani mimi ninakatabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi ntaoga ntavaa ila chupi sivai na kuna mda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period nikimaliza period tu sihitaji tena chupi nimejitahidi niache tabia hiii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
Mambo ya tubeless hayo....
 
Mm navaa nikitoka kaka nipo hom kwa kweli sivai au navaa sana kwenye p tupo wengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom