kwani kakwambia kutokuvaa chupi kwake basi uke wake unaonwa na kila mtu?We acha kumdanganya K
Ni kitu ambayo inatakiwa ifungiwe mda wote...! Na isionwe na jinsia ya kiume tofaut na mumewe...!
Private messageHivi Nini Maana Ya "PM" Wana Jf
Kuna vichupi flani kinapita Kati Kama kamba knatokea juu ya mstari wa tako, kina bey wanavivaa labda ungejaribu hvo au thongHabari zenu wadau jamani mimi ninakatabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi ntaoga ntavaa ila chupi sivai na kuna mda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period nikimaliza period tu sihitaji tena chupi nimejitahidi niache tabia hiii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
hizo zitakuwa PM za mwendo kasi sasa......hakuna namnaSipati picha hizo PM utakazopata
kama vile umetuma ujumbe...hivi....
Usijali, jawabu la tatizo lako ndio mimi.....nimewasaidia wengi wenye tatizo ka lakoHabari zenu wadau jamani mimi ninakatabia ambako mi mwenyewe sikapendi ila ndo sijui mazoea najikuta nachukia kuvaa chupi ntaoga ntavaa ila chupi sivai na kuna mda najikuta period imeanza na sijavaa chupi ntakimbia kuoga ndo ntavaa coz ya period nikimaliza period tu sihitaji tena chupi nimejitahidi niache tabia hiii nimeshindwa kabisaaa yani sijui ni mapepo dah najua siku ntakuja kuumbuka mie
Duuuuuuuh,hii sasa balaaa!weka picha