Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,634
- 112,473
Ohhhhpppp.....[emoji17][emoji17]
Anyway, kwa vijana wa huo mkoa sishangai kuingiwa hofu ukikula matunda.
Mkuu, huku kwetu mimi kila asubuhi inakula ugali, kisusio, vegetables, fruit, kisha nakunywa hadi mchuzi ndipo nasubiri baada ya muda ninakunywa maji mengi.