Tabia ya kufumania, ushauri wa bure kwa wanaume

Tabia ya kufumania, ushauri wa bure kwa wanaume

Unamfumania na bado unampenda, unamuita kuyazungumza anakutakana sasa utafanya nini hapo. Mi nashauri ukimfuma tafadhali sana hakikisha unamuweka mbali sana na mfukuzie mbali. Mwanamke hana sababu yoyote ile ya kutoka nje ya ndoa.

Hivi we rushanju kuna mwenye haki ya kutoka nje ya ndoa kati ya mwanaume na mwanamke?.Hebu twambie sababu ya inayompa ruhusa mwanaume kutoka nje ya ndoa.
 
Mleta mada nazani unaongelea vitu ambavyo huna uzoefu navyo hata kidogo
Kufumania ni kupata ushaidi husio na shaka kuhusu tabia hiyo mbaya aliyo nayo mme/mke/mpenzi
Hivi utafanyaje ukipewa taarifa kuwa mkeo au mmeo yuko sehemu anafanya zinaa na stranger?
Utatulia umsubiri huku ukimuombea kwa Mungu amalize uzinzi wake salama ili arudi nyumbani umuulize kwanini anazini nje?
Kama utafanya hivo either na wewe utakuwa mzizi au akili yako itakuwa na walakini maana hata ufanyeje hatakubali kuwa anatoka kufanya zinaa!
Ni rahisi kama hutaki kufumaniwa either:
Vunja uhusiano wako wa mwanzo ili uendelee na huyo unayempenda zaidi - au muage (mpe taarifa) mwenzi wako kuwa unaenda kufanya uzizi hivyo tafadhali hasikusumbue
Kinyume na hapo hacha ufumaniwe tu ili ulimwengu ujue ulivo mzizi itasaidia wengine kukuepuka
 
Je wewe ni mke wa mtu?????? Umeshawahi kufumaniwa???? Mbona hii story ipo one sided!!! Je sisi wakina baba tukifumaniwa wake zetu unawashauri nini????????
 
Hivi we rushanju kuna mwenye haki ya kutoka nje ya ndoa kati ya mwanaume na mwanamke?.Hebu twambie sababu ya inayompa ruhusa mwanaume kutoka nje ya ndoa.
1) Mwanamke akiwa kwenye hedhi huku mwanaume ana nyeg.e
2) Mwanamke akileta pozi, maringo, nyodo kwa mumewe
 
1. Kutoa Mahali si kununua mwanamke
2. kufunga Ndoa haina uhusiano na kutopiga mchepuko, ndo maana ktk kiapo cha ndoa sijaona kiapo cha kutochepuka
3. Kumfumania mke wako na kumdhalilisha yeye na mgoni, huo ni UJIMAAA! this is a 21st Century!

Mke ni mali yangu kwa maana natambulika kisheria,kijamii na hata ki dini kwamba mm ni mume wake,hivyo kitendo cha kutoka nje ya ndoa maana yake ametengua ule uhalali wa ndoa kati yetu.maana ni mambo mawili tu yanayotenganisha ndoa nayo ni zinaa au kifo.
hivyo kuchepuka ni wizi na mwizi akikamatwa c huadhibiwa?
Hakuna mwanandoa anayeruhusiwa kuchepuka eti kwa sababu haikuandikwa kwenye kiapo.

Swali kwako,endapo umeona dalili za mkeo kutembea nje ya ndoa yenu,na hata kupewa taarifa na ndugu wa karbu kuwa mkeo
anachepuka,na ukimuuliza anapinga,utafanya nini?
 
Tena wengine huenda mbali zaidi,wakati wewe upo safari kupigana na maisha na kutuma mahitaji kwake,mwenzako anaingiza kidume na kugalagazwa kwenye kitanda chenu.
majibu huwa ni palepale siku ya kumfumania na wala hayawezekani kupatikana jf.
 
Nawasiwasi na wewe ulifumaniwa....
Sasa kama kuongea kwanini asiongee yeye mwanamke kabla hajaamua kucheat..
Hivi unajua maumivu ya kupigiwa wife ...acha tena usiongee

Women are inferior creatures and they are from other planet..that is all

Mwanamke anapoandika jambo serious hapa jamvini usipende kumbeza msome kwa makini itakusaidia u never know huyu labda ndio mkeo unayeishi nae nyumbani ila kaja kufunguka huku. Grow up Bro.
 
Mwanamke anapoandika jambo serious hapa jamvini usipende kumbeza msome kwa makini itakusaidia u never know huyu labda ndio mkeo unayeishi nae nyumbani ila kaja kufunguka huku. Grow up Bro.

Ajabezwa ila kapewa warning ili kama anataka kuchepuka ajue kifuatacho itv ni nini
 
Watu wana hasira nomaaaa. Ila kuchapiwa kunauma jamani asikwambie mtu.
 
sijaona sababu hata moja zote hizo ni nothing. Imeandikwa wapi?
 
Akifanya hiyo maramoja tu inatosha hiyo ya pili atafanya akiwa kwa baba yake alikozaliwa
Kwa baba yake atafata nini au umeoa golikeeper? haya bwana ngoja yaishe ila umtendee mwenzio kile ambacho hupendi kutendewa.
 
Back
Top Bottom