KABERWA2013
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 304
- 92
Kwa baba yake atafata nini au umeoa golikeeper? haya bwana ngoja yaishe ila umtendee mwenzio kile ambacho hupendi kutendewa.
Kwakuwa wewe sio golikeeper ndo ushindane na mumeo kwahiyo yeye akichepuka baada ya kutongoza mwanamke na wewe unalipiza kwa kutongoza mwanaume au unachepuka na yule yule wa siku zote unayekuaga unamficha sasa unaamua kumuanika hadharani?