victormztz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 1,111
- 614
Hivi inawezekana kweli mwanaume uletewe taarifa kwamba mkeo anabanduliwa mahala fulani na njemba halafu usiende kupata uthibitisho?
Kumbuka kinachotokea baada ya kumkuta mwenza wako akikusaliti huwa ni ugonvi.na ugonvi ndio huiamsha jamii na hapo ndipo technology huchukuwa nafasi kupitia cm zetu za smartphone.sio kwamba wahusika hupenda mambo yao yaende magazetini au kwenye mitandao ya jamii la hasha.
labda iundwe sheria itakayo zuia magazet na mitandao kutoa picha za hii mikasa vinginevyo haiwezekani mama.